Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Nyantumba mambo dia... Hopefully upo poa... Kwanza sioni haja ya kukupa pole sababu ww ni binadamu wa kawaida tu na kua na jinsia mbili sio sababu ya kuikosa Furaha ya maisha... pili naomba usikwazwe na maneno ya watu hapa jamvini, kumbuka apa Ndani Kuna watu tofauti tofauti na kila mmoja ana tabia yake na mtazamo wa peke ake, lililojema baba la kuumiza liache, sioni kasoro yako... Mekupenda bure.
 
mimi nitaamini vipi kuwa hutonigeuza siku moja?
 
Asanteni kwa ushirikiano Na ushauri wenu. Nimeshapata mpenzi niliekuwa natafuta. Mliokuwa bado mnanitumia msg asanteni sn msiendelee kutuma jmn msg zimekuwa nyingi sn. Mungu awabariki wote
All the best and I hope you'll make a great couple!
 
Kuna jirani yangu na yeye ana mbili lakini mwonekano wake kama dume ila jina lake HAPPINESS, siku moja kulikuwa na mashindano ya mitumbwi iliyodhaminiwa na TBL kulikuwa na makundi ya wanawake na wanaume, sasa yeye alivyoingia kundi la wanawake, wananchi wakapiga kelele mbona huyo dume anaingia kwa wanawake? Ikabidi Polisi waende kumpekua (polisi wa kike) wakakuta ni mwanamke lakini ana mbili, basi wakasema tumethibitisha ni mwanamke, watu aaaaaaaaaaaaaaaaaaa labda wamepewa rushwa hawa polisi
 
Unatafuta mpenzi wa jinsia gani
 
Naukumbuka ule uzi na alikuwa akiomba ushauri aondoke au abaki kwani huduma zote zilikuwa kwa yule Dada ake..
 
Toya
tiyari ushapata ? Nakutaka japo naogopa siku ukinimendea nimelala,,,,,ila basi maana inategemea ntu na ntu, mi mwanaume
 
Jifaidi Mwenyewe tu hili usiumizwe wenzio tunakoma kuringa hadi nakutamani mimi nisingeangaika na manungayembe.
 
Sasa
Jifaidi Mwenyewe tu hili usiumizwe wenzio tunakoma kuringa hadi nakutamani mimi nisingeangaika na manungayembe.
nadhani moja iko chini nyingine juu afu mbali zaidi orientation tofauti hapo sasa...aje kwangu tu
 
Kama bado hujapata mwanamme mpaka mda huu basi mm nipo tayari kuwa na ww.karibu znz
 
Duh.. Kama zote ziko active siku ukichoka kutoa K siutanifila?... Weee thubutu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…