kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
nitafute nikuoe hata usipate sheeda kutangaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyantumba mambo dia... Hopefully upo poa... Kwanza sioni haja ya kukupa pole sababu ww ni binadamu wa kawaida tu na kua na jinsia mbili sio sababu ya kuikosa Furaha ya maisha... pili naomba usikwazwe na maneno ya watu hapa jamvini, kumbuka apa Ndani Kuna watu tofauti tofauti na kila mmoja ana tabia yake na mtazamo wa peke ake, lililojema baba la kuumiza liache, sioni kasoro yako... Mekupenda bure.Habarini za jioni wana jamii wenzangu,
Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.
Nipo serious,asanteni
Daaaah!!! Zote kuwa active ni ngumu sana lazima moja iwe imezidiwa nguvu na nyingine.Zote
All the best and I hope you'll make a great couple!Asanteni kwa ushirikiano Na ushauri wenu. Nimeshapata mpenzi niliekuwa natafuta. Mliokuwa bado mnanitumia msg asanteni sn msiendelee kutuma jmn msg zimekuwa nyingi sn. Mungu awabariki wote
Mkuu, sasa kama zote ziko active, unatafuta mpenzi wa nini mwishowe uambukizwe magonjwa ya zinaa. Jipe raha mwenyewe, utaepuka mengi ikiwemo kuchepuka.Zote
Naukumbuka ule uzi na alikuwa akiomba ushauri aondoke au abaki kwani huduma zote zilikuwa kwa yule Dada ake..Hmmmm! ipi ambayo mwenyewe ungependa kuitumia maishani mwako moja au zote? Kuliwahi kuwa na uzi humu wa jamaa ambaye alikuwa na dada yake baba mmoja mama mmoja na maishani mwake siku zote alijua dada yake ni mwanamke. Na alikuwa na mashoga zake ni warembo sana na mdogo mtu wa kiume hadi wengine kuwamezea mate. siku moja wawili wakaja kumtembelea dada yake nyumbani kwao na yeye akiwepo. Kisha hao wakatokomea chumbani. Mdogo mtu hakuona cha ajabu maana kwa mashoga walioshibana kuingizana chumbani si kitu cha ajabu hata kidogo. Baadaye kukaanguka varangati la kukata na shoka kule chumbani, mdogo tu akavumilia lakini uvumilivu ukamshinda maana kelele zilizidi kuongezeka na akaona asije kuumia mtu au hata kufa hivyo akaamua kuingia kule chumbani kwa nguvu na ndipo kumkuta dada yake akiwa uchi wa nyama huku dushe limesimama. Inawezekana details haziko 100% accurate lakini huo uzi umo humu na kama kumbukumbu zangu ni nzuri ulipata wachangiaji wengi sana.
Nami ngastukaaaaaaa…kwa nini useme wewe ni "mwanamke mrembo" wakati una "jinsia zote mbili"?
tiyari ushapata ? Nakutaka japo naogopa siku ukinimendea nimelala,,,,,ila basi maana inategemea ntu na ntu, mi mwanaumeHabarini za jioni wana jamii wenzangu,
Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.
Nipo serious,asanteni
nadhani moja iko chini nyingine juu afu mbali zaidi orientation tofauti hapo sasa...aje kwangu tuJifaidi Mwenyewe tu hili usiumizwe wenzio tunakoma kuringa hadi nakutamani mimi nisingeangaika na manungayembe.
Bila shaka kakufahamu.Sasa
nadhani moja iko chini nyingine juu afu mbali zaidi orientation tofauti hapo sasa...aje kwangu tu