Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi Wa kweli, Mimi ni mwanamke mrembo lakini Nina jinsia mbili ya like Na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.nipo serious . asanteni

nyantumba hongera sana kwa kupata ujasiri huo.

Niseme tu wewe ni kiumbe maalumu na bila shaka Mungu kakuleta kwa makusudi yake.

Kuna familia naifahamu ambayo walipata mtoto wa jinsia mbili, unfortunately wakachukua maamuzi ya kumuondoa jinsia moja huku madaktari wakishauri zote ziko sawa na zinafanya kazi. Huo ni ukatili.

Kuna mtu marekani ambaye aliondolewa jinsia moja hospitalini na alipokuwa mtu mzima akaishtaki serikali kwa kufanya maamuzi binafsi yaliyohusu maisha yake.

In fact there is much you can do kuwasaidia wenye Jinsia hiyo but if you agree to come into public.

Kuna moja temeke alimtia mimba binti kisha naye alitiwa mimba . . .

See this Video from Uganda:

 
Binadamu wenye hermaphroditism wanaitwa SHEMALE AU TRANSSEXUAL
What Is a Hermaphrodite?
A person who is a hermaphrodite has both female and male genital characteristics and can also be called intersex people. This typically means that the organs on the inside are of one sex, while the organs on the outside are of another sex; for example, a hermaphrodite might have a penis and testicles, but inside, there are ovaries and possibly a uterus. In more rare cases, the chromosomes say a person is male or female, but the genitals say otherwise.
Only occasionally do hermaphrodites actually exhibit the genitalia of both a male and a female; for example, a person might have a penis as well as a vagina. In many of these cases, the doctors aren’t sure which genitalia the person has at birth: For instance, a female might appear to have a very large clitoris, or a male might appear to have a very small penis. This ambiguous genitalia is often cause for further testing on DNA to determine whether the child is a boy or a girl.
It is currently estimated that about one in every 2,000 babies born have “confusing” or ambiguous genitalia. In cases like this, the parents might make the decision to put their child through surgery to determine a physical gender, or they might opt to wait until the child is older and can decide for themselves which gender is dominant in their body and mind.



Shemale (also known as she-male) is a term primarily used in sex work to describe a trans woman with male genitalia and female secondary sex characteristics, usually including breasts from breast augmentation or use of hormones. Many transgender people regard the term shemale as offensive, arguing that it mocks or shows a lack of respect toward the gender identity and gender expression of transgender individuals; in this view, the term emphasizes the biological sex of a person and neglects their gender. Using the term shemale for a transsexual woman often implies that she is working in the sex trade.[1] The phrase is commonly used in pornography.
 
Hili ni jambo la kawaida sana ndugu zangu! Mimi nimekua nikisikia na nimewahi kumuona mmoja kitambo tu, nilimuuliza babu yangu aliniambia ni jambo la kawaida na linatokea sana, baada ya kusoma bailogia nilielewa kwa nini jambo hili hutokea, :
Kuwepo mtoto wa namna hii katika kila watoto 2000 wanaozaliwa kunaakisi kwamba watu hawa wapo wengi! Tuwapokee na Tumshukuru Mungu kwa ajili yao.
Hongera dada kwa ujasili (kama Kuna ukweli) nimekupenda bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom