Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Kawaida mtu mwenye jinsia mbili akiwa na mwonekano Wa kike basi jinsi yenye nguvu inakuwa ni uume,na akiwa na mwonekano Wa kiume ya kike inakuwa na nguvu,ila zote haziwezi kuwa active
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
ebu tuzione hizo jinsia tujue tutavutiwa na zip
 
Wewe wataka unayemtaka awe Na ipi..? Na aitumie ipi koz isije ikawa at last Yale mambo ya "IF YOU DO ME? I DO YOU" nami nipo Arusha but we need a real talk sipo radhi kufanyiwa mambo ya kishenzi?

you made my day
 
Huna jinsia 2 wewe. Hizo porojo wape watu wa a town huko. Sema una kinembe kirefu sanaaaa. ..kama ni hivyo basi utanisisimua sanaaaaa. ..hiyo mambo ya jinsia sijui 2 tupa kuleee
 
njoo PM
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
 
Hmmmm! ipi ambayo mwenyewe ungependa kuitumia maishani mwako moja au zote? Kuliwahi kuwa na uzi humu wa jamaa ambaye alikuwa na dada yake baba mmoja mama mmoja na maishani mwake siku zote alijua dada yake ni mwanamke. Na alikuwa na mashoga zake ni warembo sana na mdogo mtu wa kiume hadi wengine kuwamezea mate. siku moja wawili wakaja kumtembelea dada yake nyumbani kwao na yeye akiwepo. Kisha hao wakatokomea chumbani. Mdogo mtu hakuona cha ajabu maana kwa mashoga walioshibana kuingizana chumbani si kitu cha ajabu hata kidogo. Baadaye kukaanguka varangati la kukata na shoka kule chumbani, mdogo tu akavumilia lakini uvumilivu ukamshinda maana kelele zilizidi kuongezeka na akaona asije kuumia mtu au hata kufa hivyo akaamua kuingia kule chumbani kwa nguvu na ndipo kumkuta dada yake akiwa uchi wa nyama huku dushe limesimama. Inawezekana details haziko 100% accurate lakini huo uzi umo humu na kama kumbukumbu zangu ni nzuri ulipata wachangiaji wengi sana.
Ni kwl huo Uzi niliwai kuupitia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom