felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Wakuu
Naomben mawazo yenu, mimi sihitaji zile official business sijui unafungua duka unauza, hapana
Ningependa nipate ile michongo flan unakuta unaenda labda kununua bidhaa sehem flani na uhakika wa soko upo wewe ni ku deliver mzigo unachukua chako na faida juu, unachukua order
Tafadhali tusaidiane wadau tupeane fursa hizi, huwezi jua huko mbeleni tunaweza kushirikiana mambo makubwa