Nina kama Milioni 5 nifanye mchongo gani wa biashara?

Za ndani kabisa nmeambiwa una duka kino, full vioo full ac, kodi unalipa milion 1, dukani umeeka tshrt nne na raba tano.....ni kweli? Au majungu ya wasiopenda maendeleo yako 😹
Daaah aiseeee takuja piga mtuu mimi mjue..
Madam ipo hivi mi napiga biashara za kawaida sana tuu ila kuna mambo mnafanya mi sipendi
Mnapotosha wenzenu
 
Hahahaaaa,wabongo bado sana ktk suala la ubunifu.
una uliza business ya kufanya,it means hujui cha kufanya lkn hela unayo.

Ok sasa umeambiwa mishe ya kufanya,so how sure are you that Business is playable,mbongo anaweza kukuambia bizines inalipa kinoma na anaongeza ziro nyingi kila tsh then una ingia kichwa kichwa una kula za uso chaliiii.

Mimi ninge penda sana njoo humu na idea au project yako then una itaji ushari na mawazo kutoka kwa watu ambao wana ifanya na wengine walisha ifanya,ko wana uzoefu naya,now you can be aware on how to operate it.

Tuache uvivu wa kutokubuni project za kufanya.
 
Mbona hasira sana...
 
Back
Top Bottom