Yes bro, mishe za namna hio ndio napenda na zina hela, kukaa dukani kusubir wateja siwez kabisa mkuu..Unataka ufanye hivi.
Mfano unaenda morogoro unanunua bidhaa unaleta dar unauza .
Hizi mishe zinalipa Ila zinapenda uwe active and timing.
Najua wapo wadau ndo Kazi zao watakuja kukupa ideas
OkHaitoshi mkuu yaani hapo tafuta kama milion tatu tena hv ndo ufanye kitu cha maana
Labda angefafanua hilo kwanza japo kuna possibilities za kukopa, kupewa msaada, kuuza mali au kuiba.Milion tano uliipata kwa mchongo gani kwani, ili ushikilie hapo hapo.
Ushaanza we jamaa na mitaji yako isiotoshagaHaitoshi mkuu yaani hapo tafuta kama milion tatu tena hv ndo ufanye kitu cha maana
Achukue hii kwa 1000 tuTafuta odds 100 mkuu unapata 500M
Mkuu sasa million tano atafanya biashara gani hapo..Ushaanza we jamaa na mitaji yako isiotoshaga