Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Daaah aiseeee takuja piga mtuu mimi mjue..Za ndani kabisa nmeambiwa una duka kino, full vioo full ac, kodi unalipa milion 1, dukani umeeka tshrt nne na raba tano.....ni kweli? Au majungu ya wasiopenda maendeleo yako 😹
Ngoja kwanza nije inbox unipe mtajiDaaah aiseeee takuja piga mtuu mimi mjue..
Madam ipo hivi mi napiga biashara za kawaida sana tuu ila kuna mambo mnafanya mi sipendi
Mnapotosha wenzenu
Mi uje hapa na full skeleton ya biashara yako..Ngoja kwanza nije inbox unipe mtaji
Nategemea kupewa mtaji wa milion 20 hapa niuzie vitumbua....nakuja ankoMi uje hapa na full skeleton ya biashara yako..
Then taangalia kama inaweza kuleta income zaidi ya 400k per day...
Karibu madam
Kuwa seriously mill 20 kwa vutumbua hapana..Nategemea kupewa mtaji wa milion 20 hapa niuzie vitumbua....nakuja anko
15mil utafanyia nini kuwa serious, hiyo hela ndogo sana ongeza 15 labda 😹Kuwa seriously mill 20 kwa vutumbua hapana..
Mybe 15m nilikua nawaza kufungua hardware huku bomba mbili...
Mil 15 ndogo....15mil utafanyia nini kuwa serious, hiyo hela ndogo sana ongeza 15 labda 😹
Haikufikishi popote hela ya kodi tu hiyo huweki mzigo wa kutosha, ongeza ndo ufanye vitu vya maanaMil 15 ndogo....
Madam mbona una mambo ya ajabu wewe 😄😄😄😄😄😄
😄😄😄😄 Ndo maaana walitaka kukupiga hvo hvo weweHaikufikishi popote hela ya kodi tu hiyo huweki mzigo wa kutosha, ongeza ndo ufanye vitu vya maana
Mbona hasira sana...Hahahaaaa,wabongo bado sana ktk suala la ubunifu.
una uliza business ya kufanya,it means hujui cha kufanya lkn hela unayo.
Ok sasa umeambiwa mishe ya kufanya,so how sure are you that Business is playable,mbongo anaweza kukuambia bizines inalipa kinoma na anaongeza ziro nyingi kila tsh then una ingia kichwa kichwa una kula za uso chaliiii.
Mimi ninge penda sana njoo humu na idea au project yako then una itaji ushari na mawazo kutoka kwa watu ambao wana ifanya na wengine walisha ifanya,ko wana uzoefu naya,now you can be aware on how to operate it.
Tuache uvivu wa kutokubuni project za kufanya.
Kitu gani mkuu tusanue, me nna 8M tupe michongo mkuu ! Utakua umetoa sadaka kubwa mno !!Haitoshi mkuu yaani hapo tafuta kama milion tatu tena hv ndo ufanye kitu cha maana
ayo ni maon tu chiefMbona hasira sana...
Kuna kizazi kipya kimekuja kuharibuNi ajabu lakini ni kweli. Kuna mahala nimesoma kua hata wale wadau walikua wanatoa madini muhimu hawaiingii tena unakuta last seen active unakuta 2013 ama 2014 ..