Nina kazi ya sales kwenye kampuni

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,069
Reaction score
1,209
Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed.

Location: Kigamboni.

Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN.

Contract ni miezi 3 renewable based on performance.

Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi.

Commission: Commission ipo kama utazidi malengo ya mauzo kwa mwezi.

Gender: Kazi inahusisha mizunguko mingi na beba shusha ya mizigo - preffered gender ni Me hata hivyo KE pia anaweza kufanya.

Sifa muhimu: Ujuzi wa kuuza kwa wateja wa aina zote (Mahotel, Taasisi, Maduka makubwa kwa madogo).

Elimu: Elimu yoyote ili mradi anajua kufanya mauzo na kusimamia mahusiono mazuri na wateja.

Lugha: Awe na ufasaha wa lugha ya kiswahili na kiingereza.

Makazi: Akiwa anaishi au kuweza kuhamia kigamboni itafaa itapendeza zaidi.

Wadhamini: Awe na wadhamini wawili waajiriwa wa serikali au kampuni binafsi zenye wasifu mkubwa Tanzania mfano: NMB au Azam na nyinginezo.

Sifa za ziada: Akiwa na leseni ya udereva itakuwa bora zaidi lakin sio lazima.

Muda wa kuanza kazi: Tarehe 1 August 2023.

Maelezo zaidi: Karibu inbox.

Asante.
 
Hi Brother - share via rendolimitedtz@gmail.com
 
Kaka nipe namba nikupigie boss tuanze kazi
 
Nipo Manzese Dar es Salaam Nahitaji mkuu
 
Kila la kheri mkuu,Mimi ninauzoefu wa sales na merchandising nipo Dodoma kama utapanua soko karibu tushirikiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…