Nina kazi ya sales kwenye kampuni

Nina kazi ya sales kwenye kampuni

Huo mshahara na hao wadhamini! Nikatafute mdhamini wa serikalini anidhamini kazi ya laki 2.5!!? Kua nitaiba vinywaji au hiyo van!!?
Wadhamini wawe wanafanya kazi basi sio wawe na uongozi serikalini ungekuwa na shida yakazi ache utani basi na watu
 
Yaani kuna mahala unaweza kukutana na vigezo vya ajabu mpaka ukashangaa! Kwa kifupi boss mwenye vigezo hivyo ni mtihani
Asante ndugu.

Kwa kukusaidia tu, ukiona kazi ina hayo masharti maanake ni kazi yenye uhuru sana....yaani sehemu kubwa ya kazi hauonani na wawiliki wenye...unafanya kazi na mfumo tu.

Natumain nimekuongezea maarifa kidogo ingawa unayo hiari ya kuendelea kuwa mtizamo wako.

Karibu.
 
Mgumu sana! Kwanini atleast kwenye hivyo vigezo uweke " wadhamini wawe ni watu wazima/ ndugu zako au wazazi/ mke au mume wako " wengine ni wahitaji wa kazi ila hawana link na hao watu wa serikalini!?
 
Back
Top Bottom