Nina kiasi cha shilingi million 7,500,000 itamaliza ujenzi wa vyumba 3

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Habarini za humu JF?

Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.

Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?

Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
 
Ukivijenga kwa ubahili inamaliza.

Ila eneo liwe tambalale. Bati upige za gauge 30 ambazo pcs 16 hazizidi laki 3 na kisha uzipige kwa style ya nusu mgongo wa tembo , madirisha na milango usiweke mninga.. weka mtondoo ama nunua used ya nyumba zilizobomolewa. Pia zege liwe la rinta tu lizungushe kote. Chini usipige zege la kuzunguka msingi wote.

Kwa mfumo wa kujibana vyumba vitatu pekee vinakamilika ila sio nyumba yenye mbwembwe za stoo, sebule etc
 
Tafuta fundi unayemfahamu huko ulipo akufanyie tathmini kutokana na ramani yako. Japo kwa ufupi hiyo haitoshi hata kidogo
 
Ukivijenga kwa ubahili inamaliza.

Ila eneo liwe tambalale. Bati upige za gauge 30 ambazo pcs 16 hazizidi laki 3 na kisha uzipige kwa style ya nusu mgongo wa tembo , madirisha na milango usiweke mninga.. weka mtondoo ama nunua used ya nyumba zilizobomolewa. Pia zege liwe la rinta tu lizungushe kote. Chini usipige zege la kuzunguka msingi wote.

Kwa mfumo wa kujibana vyumba vitatu pekee vinakamilika ila sio nyumba yenye mbwembwe za stoo, sebule etc
Sawa je nikijengea tofari za choma nikatumia udongo tu na msingi nikajengea udongo na nikachapia kwa cement bado haitasaidia kitu?
 
Sina uzoefu na tofali za kuchoma wala kujenga kwa udongo.. sijui hata zinaingia ngapi kwa chumba cha 12 ft ama 10ft.

Mimi nina uzoefu na ujenz wa tofali za mchanga tu, udongo sijui chochote
 
Ata nyumba rum moja na sebule
bado haitatosha hiyo
 
Million zote hizo umetoa wapi?
Angalau ingekuwa million 7
 
Japokua ni ndogo ila ni mipango tu mkuu... pangilia vizuri kwenye karatasi kabla ya kuanza ujenzi kwanza
 
Back
Top Bottom