RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Duh matajiri hewa 😇😇😇Hapo Katoro mbona kuna mafundi kibao tu kwanini usiwatafute wakakupa mchanganuo na kukujengea nyumba ya Bajeti yako?
Nijuavyo, Geita nyumba nyingi ni za matofali ya kuchoma na hujengewa kwa matope na hivyo gharama huwa zipo chini.
Humu jamiiforums kila mtu ni tajiri na nyumba zao zinaanzia 200Millions na kuendelea. Ukisikiliza ushauri wa matajiri hewa wa humu utakufa kwenye nyumba ya kupanga.
Tafuta fundi hapo Katoro atakujengea nyumba ya hadhi yako na itakamilika.
Kila la kheri kiongozi.