Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achani povu, Milion 7,500,000/= ni sawa na sh ngapi!??ongea vitu vya maana basi viwasaidie wenzako.
Achani povu, Milion 7,500,000/= ni sawa na sh ngapi!??Hivi watu wengine mkoje
Asikitishe hajui chochote huyo...ila hyo haitoshi kwel...kwan unatumia tofal ganAiseee! Kazi ninayo
Kiwanja kipo kwenye mwinuko wa kimlimaKiwanja kina hali gani na aina ya udongo ikoje tuanze hapo
Kwa plan zangu nilitaka nipunguze gharama kwa kujengea msingi udongo baadae nichapie cement.Asikitishe hajui chochote huyo...ila hyo haitoshi kwel...kwan unatumia tofal gan
Za kuchoma ama?na pia unaplan gan..kutumia cement mwanzo mwisho au unapiga maeneo mengne udongo...
Msing wa mawe au?
Kama utajenga hivyo bas andaa 15 m...tumia bati za kawaida kabisa..acha mbwembwe...inaweza tosha hyo..10-13...
Ila ukijenga kimjin mjini haitosh kabisa
Kwa ufafanuzi wa maneno ni (Milioni saba laki tano 7,500,000/=)Achani povu, Milion 7,500,000/= ni sawa na sh ngapi!??
Anhaa..ungeweka msing wa mawe chief..gar ya mawe si 60 tu huko au...halaf kwenye kona za kuta znapokutana weka cement...kwingne udongo...bat kawaida...10m inakutosha ...hakikisha unamlalia fund kwerikweri.....tena tafuta fund ambae atapiga mwanzo mwisho had kupaua..hapo ndo utamlalia vzurKwa plan zangu nilitaka nipunguze gharama kwa kujengea msingi udongo baadae nichapie cement.
Baada ya hapo nitaanza kwa kujengea udongo mpaka sehemu za madirisha baadae renta na kozi za juu nitamaliza kwa cement ndivyo nilivyo plan nifanye[emoji1666]
Ndio ni mawe maana nilipo kuna kamlima nyuma yangu hivyo mawe hayako mbali sana, pia kwenye kujengea cement kwenye kona siyo mbaya isipokuwa eneo lote halita wezekana itakuwa kuchapia tu.Anhaa..ungeweka msing wa mawe chief..gar ya mawe si 60 tu huko au...halaf kwenye kona za kuta znapokutana weka cement...kwingne udongo...bat kawaida...10m inakutosha ...hakikisha unamlalia fund kwerikweri.....tena tafuta fund ambae atapiga mwanzo mwisho had kupaua..hapo ndo utamlalia vzur
Pesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
Tuliza kichwa dogo,acha pupa utaelewa vizuri.Acha ujinga basi af kua mstaarabu
Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Hapo Katoro mbona kuna mafundi kibao tu kwanini usiwatafute wakakupa mchanganuo na kukujengea nyumba ya Bajeti yako?Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Inajenga na kumaliza na mnalala humo ndani.Ingekuwa Kanda ya Kati ningekwambia nikabidhi pesa nikukabidhi nyumba TU.Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Uzowefu inaweza kuwa hata kupigwa na fundi mkuu lakini 7.5 kwa house ya room 3 self-contained inatosha na mabanda ya kuku utajengaNipe uzoefu kidogo?
nyumba yenye mbwembwe za stoo, sebule etc