Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Aiseee! Kazi ninayohuwezi, sikukatishi tamaa, ila huwezi. niko kwenye ujenzi pia sasahivi mkoa fulani, nakushauri jipigepige ufike hata 25 au 30m.
ongea vitu vya maana basi viwasaidie wenzako.Pesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
Hivi watu wengine mkojePesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
Tafuta fundi unayemfahamu huko ulipo akufanyie tathmini kutokana na ramani yako. Japo kwa ufupi hiyo haitoshi hata kidogoHabarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Sawa je nikijengea tofari za choma nikatumia udongo tu na msingi nikajengea udongo na nikachapia kwa cement bado haitasaidia kitu?Ukivijenga kwa ubahili inamaliza.
Ila eneo liwe tambalale. Bati upige za gauge 30 ambazo pcs 16 hazizidi laki 3 na kisha uzipige kwa style ya nusu mgongo wa tembo , madirisha na milango usiweke mninga.. weka mtondoo ama nunua used ya nyumba zilizobomolewa. Pia zege liwe la rinta tu lizungushe kote. Chini usipige zege la kuzunguka msingi wote.
Kwa mfumo wa kujibana vyumba vitatu pekee vinakamilika ila sio nyumba yenye mbwembwe za stoo, sebule etc
Sawa je nikijengea tofari za choma nikatumia udongo tu na msingi nikajengea udongo na nikachapia kwa cement bado haitasaidia kitu?
Pesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
Nipe uzoefu kidogo?Wanakutisha tu inakamilika
Ahsante kwa wazo pia[emoji1666]Japokua ni ndogo ila ni mipango tu mkuu... pangilia vizuri kwenye karatasi kabla ya kuanza ujenzi kwanza
Punguza uzwazwa basAta nyumba rum moja na sebule
bado haitatosha hiyo