Duh matajiri hewa 😇😇😇Hapo Katoro mbona kuna mafundi kibao tu kwanini usiwatafute wakakupa mchanganuo na kukujengea nyumba ya Bajeti yako?
Nijuavyo, Geita nyumba nyingi ni za matofali ya kuchoma na hujengewa kwa matope na hivyo gharama huwa zipo chini.
Humu jamiiforums kila mtu ni tajiri na nyumba zao zinaanzia 200Millions na kuendelea. Ukisikiliza ushauri wa matajiri hewa wa humu utakufa kwenye nyumba ya kupanga.
Tafuta fundi hapo Katoro atakujengea nyumba ya hadhi yako na itakamilika.
Kila la kheri kiongozi.
Itatosha kwa matofali ya kuchoma na mafundi wa vijijiniSawa je nikijengea tofari za choma nikatumia udongo tu na msingi nikajengea udongo na nikachapia kwa cement bado haitasaidia kitu?
Uko sawa kabisa labda angesema mil 7.5 ila kwa hiyo mil 7,500,000 ni kubwa mno.Pesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
Hongera kwa makusanyo.Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Ndugu, ukisikiza ushauri wa wadau humu hutojenga miaka na mikaka.Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Hauwezi ngoja niondoe matofali tuangalie gharama za baadhi ya vifaa vichache tu.Ukivijenga kwa ubahili inamaliza.
Ila eneo liwe tambalale. Bati upige za gauge 30 ambazo pcs 16 hazizidi laki 3 na kisha uzipige kwa style ya nusu mgongo wa tembo , madirisha na milango usiweke mninga.. weka mtondoo ama nunua used ya nyumba zilizobomolewa. Pia zege liwe la rinta tu lizungushe kote. Chini usipige zege la kuzunguka msingi wote.
Kwa mfumo wa kujibana vyumba vitatu pekee vinakamilika ila sio nyumba yenye mbwembwe za stoo, sebule etc
Hauwezi ngoja niondoe matofali tuangalie gharama za baadhi ya vifaa vichache tu.
1.Bati G30 120×24000= 2,880,000
2.Mchanga tripu 3×100,000= 300,000
3.Nondo Y12 36×26000= 936,000
4.Kokoto trip 1 × 300,000= 300,000
5.Mbao 2×4×12 167×7000=1,269,000
6.Mbao 2×2×12 160×3500= 560,000
????
Hauwezi kujenga kwa milioni saba acheni kupotosha
Dah kuwa serious basi tujifunzePesa nyingi sana hiyo mkuu.
Hapo unaweza kujenga ghorofa na kufungua biashara kubwa tu.
Milioni 7,500,000 uliyonayo inakupa hadhi ya ubilionea mkuu,hongera sana!.
huwezi, sikukatishi tamaa, ila huwezi. niko kwenye ujenzi pia sasahivi mkoa fulani, nakushauri jipigepige ufike hata 25 au 30m.
Mimi najikita kwenye lugha tu. Kwenye kichwa cha habari ondoa neno 'million'. Maneno yanayobakia ndiyo sahihi kueleza uyatakayo. La sivyo, andika '...milioni saba unusu'; au kwa tarakimu '...milioni 7.5'.Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Nyumba hutaweza mkuu, ila kibanda inawezekana.Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba kujua kwa kiasi nilicho taja hapo juu maeneo ya Katoro Geita naweza kumaliza ujenzi kwa kiasi hicho cha pesa?
Vyumba 3 tu na jiko ndio plan yangu, nakaribisha maoni na mawazo yenu niko serious katika hili. Kama wewe ni Fundi na uko maeneo hayo ya Katoro tuwasiliane Inbox [emoji392]
Mkuu hapanaHabarini za humu JF?