Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Ebu tafuta bamia inayo fanania na ujazo wako km ukipata kwel iko kibamia ni ku halisia hakuna kibamia ni uwoga wa mwanaume tuu
 
Nilisoma sehemu jinsi ya kutumia mchanganyiko wa mdalasini ya unga na asali tu, kiwango cha 1 kwa 2. mchanganyiko ulale siku 3. unakunywa ( inaongeza na nguvu pia) na ku-massage. Kama uko serious njoo PM nikuelekeze zaidi na uzuri hivyo vitu ukienda sokoni hata sasa hivi unapata unatengeneza wewe mwenyewe. Na uturejeshee mrejesho maana sijawahi jaribu
man well
 
ina inch ngap
 
Nitakufuata unipe muongozo ili nami baadae niwe mshauri kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naleta dawa usisite kuungana nami., ktk mfululizo wa mada zangu... Leo naangusha sindano nyingine kaa mkao wa kula,, Unyonge wote kwiixh ney,, Dawa yao inachemka wanaokubeza
 
elezea vzur mkuu...utaokoa na wengine pia na sio man wello pekeyake[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajitaidi kufanya mazoezi kuanzia Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata usafi huwa unaongeza size ya dushe, believe me kama unafuga rasta kule chini basi nutrients zote zinachukuliwa na rasta.

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
Sijakuelewa kichwa cha habari na habari yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kichwa cha habari ni ninakibamia. Lengo kuwajulisha wadau Kama nyinyi ili mtupatie mawazo au maoni ili tuondoe tatizo,kibamia changu ni chamda mrefu nishajitaidi Sana kukikuza ila bado sijafanikiwa [HASHTAG]#ilo[/HASHTAG] ndio lilikua lengo la kuwafahamisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…