Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Siku izi kaka ukiwa na msichana kama pesa huna basi kuambiwa una kibamia na hauna nguvu za kiume ni jambo la kawaida sana.Kwa usitishwe na hap wacheza porno wa bongo tafuta size yako maisha yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitalini watakupa dawa na pia wataku pampu kwa saizi uitakayo.

Kila la kheri mkuu...
 
Mistal kma nyungungu inadepend na mwili wako I mean ulivyo zaliwa kama haiwash bas hilo sio tatizo..Ila kma unapendelea kujikuna sana pngza[emoji63]4 ur xafe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…