Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Siku izi kaka ukiwa na msichana kama pesa huna basi kuambiwa una kibamia na hauna nguvu za kiume ni jambo la kawaida sana.Kwa usitishwe na hap wacheza porno wa bongo tafuta size yako maisha yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitalini watakupa dawa na pia wataku pampu kwa saizi uitakayo.

Kila la kheri mkuu...
 
Habari wana jamvii!kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nimekua mhanga wa tatizo ilo kwa muda sasa na bado sijaonana na daktari kwa ushauri zaidi.dushe Langu likikasilika linakua la wastani kinacho nitisha zaidi kokwa moja imeshuka halafu imepita mistari mistari Kama nyungunyungu. wasalam! naitaji mawazo yenu na ushauri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mistal kma nyungungu inadepend na mwili wako I mean ulivyo zaliwa kama haiwash bas hilo sio tatizo..Ila kma unapendelea kujikuna sana pngza[emoji63]4 ur xafe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom