Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uza hizo GBwadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
Kuna YouTube + Google.wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23]imagineYaani Gb 5 kwa mwezi ndo unasumbua watu?
Hamna kitu hapa wazee msipoteze mda bure..muda wa kuziuza sina.
Gb 5 kwa mwezi ni ndogo sana.. fanya haya..wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
Hata Mimi nimeshangaa,Mimi kwa mwezi natumia GB 8 bila kuingia yuo tube Wala Facebook,huyu yeye 5 GB anataka tusilaleYaani Gb 5 kwa mwezi ndo unasumbua watu?
Mimi nimefuta Instagram na telegram na tik tok..Hata Mimi nimeshangaa,Mimi kwa mwezi natumia GB 8 bila kuingia yuo tube Wala Facebook,huyu yeye 5 GB anataka tusilale
[emoji849][emoji849][emoji849]
Yaani hizo GB 5 Mimi natumia siku 4 au 5 zimeishakila mwezi napata, zinajiacumulate
Utakuwa unashinda youtube.Mimi nimefuta Instagram na telegram na tik tok..
Kila siku najiunga bando la wiki la halotel la MB 600
Hamna.peruzi web site,jamii forum,kudownload vitu n.kUtakuwa unashinda youtube.