Mala ya mwisho kufanya mapenzi lini ?Jamani nahitaji msaada wenu hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa Nina kilo 86 nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninae kutana nae ananiambia kua nimekonda jamani nifanyaje je ni ugonjwa au ni shida gani maana Mimi najiona Niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani
Uzito sawa na mfuko wa saruji.Eeeh,kwahiyo unataka kuwafrahish waja? Pole,
Na sie wenye kilo 50 je😀,,
Nina urefu wa 165cm lakini Cha ajabu mwakaa juzi nilikua Nina kilo 83 Sasa shida ni nini mpaka na Mimi nimeanza kujiona nimekonUna urefu gani? Zamani ulikua na Kg ngapi?
🤣🤣🤣,,Mie nacheza na hiyo 50/55 zikizidi sanaaa 60.Uzito sawa na mfuko wa saruji.
Na yeye pia alisema nimekonda Cha ajabu nguo zangu zinanitosha vizuri tuu lakini tangu watu waniambie nimekonda nikitmbea naona napepeseukaMala ya mwisho kufanya mapenzi lini ?
Na ulie fanya nae alisemaje Kwa hali ya mwili wako ?
Mimi ni keWewe ni jinsia Gani?
BMI (Body Mass Index) yako ukicalculate ni 31.6 ambayo Obesity Class I.Nina urefu wa 165cm lakini Cha ajabu mwakaa juzi nilikua Nina kilo 83 Sasa shida ni nini mpaka na Mimi nimeanza kujiona nimekon
Daa kwa huo urefu na hizo kilo inatakiwa uwe bonge nyanya. Nakuzidi urefu mbali sana na nina kilo 83 lakini kila mtu ananambia nimenenepa sana . Maana nimeongezeka kilo 7 ndani ya mwaka mmoja.Nina urefu wa 165cm lakini Cha ajabu mwakaa juzi nilikua Nina kilo 83 Sasa shida ni nini mpaka na Mimi nimeanza kujiona nimekon
Sasa mbona na Mimi nimeanza kujiona nimekonda nikitembea napepesuka na nguo zangu naona zinanikaa vibaya shape haionekaniBMI (Body Mass Index) yako ukicalculate ni 31.6 ambayo Obesity Class I.
Hao watu wasikudanganye, inabidi ushuke kidogo. Kwa urefu wako, uzito sahihi ni 58 - 62 Kg.
Fanya upime kilo upya na urefu hivi karibuni.Sasa mbona na Mimi nimeanza kujiona nimekonda nikitembea napepesuka na nguo zangu naona zinanikaa vibaya shape haionekani
Ndo nashangaa na Mimi kuambiwa nimekonda shape umeisha😁Daa kwa huo urefu na hizo kilo inatakiwa uwe bonge nyanya. Nakuzidi urefu mbali sana na nina kilo 83 lakini kila mtu ananambia nimenenepa sana . Maana nimeongezeka kilo 7 ndani ya mwaka mmoja.
😎 Lakini si ali enjoy kidogo japo alisema umekonda ?Na yeye pia alisema nimekonda Cha ajabu nguo zangu zinanitosha vizuri tuu lakini tangu watu waniambie nimekonda nikitmbea naona napepeseuka