Nina kilo 86 lakini kila ninayekutana naye anasema nimekonda sana! Nifanyeje ili ninenepe kwa haraka?

Jamani nahitaji msaada wenu.

Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!

Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana! Naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani! Nifanyaje ili ninenepe kwa haraka?
Ongeza kula mapocho pocho mwanangu
 
Saruji ipi yenye kilo hizo mkuu?
IMG_4475.png
 
Jamani nahitaji msaada wenu.

Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!

Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana! Naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani! Nifanyaje ili ninenepe kwa haraka

Jamani nahitaji msaada wenu.

Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!

Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana! Naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani! Nifanyaje ili ninenepe kwa haraka?

Hiki kizazi ni cha ajabu sana...
 
Sasa mbona na Mimi nimeanza kujiona nimekonda nikitembea napepesuka na nguo zangu naona zinanikaa vibaya shape haionekani
Wabongo tuna maneno sana haswa tukikutana baada ya kutokuonana muda mrefu. Hata kama umepungua kidogo mtu atasema umekonda sana, nadhani unaelewa.
 
We jamaa wewe 89? nna kilo 59-62 hapo nimenenepa Sanaa sasa we 89 mi ningekufa.
 
Jamani nahitaji msaada wenu.

Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!

Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana! Naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani! Nifanyaje ili ninenepe kwa haraka?
nina 110 wananiiita mwembamba wewe 86 si andunje ? usisikilize watu ishi misha yako
 
Jamani nahitaji msaada wenu.

Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!

Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda sana! Naogopa hata kukutana na watu wangu wa zamani! Nifanyaje ili ninenepe kwa haraka?
Unene si mzuri na si afya, chaguo ni lako.
 
je unaishi kwa wasiwasi? Una kinyongo na mtu? una stress? unaishi maisha unayoyapenda? kama una kipengele baadhi hapo juu hata ule vipi mifupa ndio itakayokupa uzito nyama haziji ng'oo pole mwaya.
 
Back
Top Bottom