malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Nipo uyuiUpo mkoa gani ?
USSR
mkuu nakuomba usiogope kuchukua mkopo. naomba ukae na halmashauri yako ya ndani ya nafsi kisha mkubaliane nidhamu ya hali ya juu jinsi ya kurejesha huo mkopo kwa sababu biashara ya kiwese kama stesheni yako iko eneo la kimkakati ni biashara ya uhakika nakutakia kila la kheri.Wakuu ninamiliki kituo Cha mafuta kutokana na changamota nlizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo,nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta ,
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu,na je mkopo wa 120m riba yake nikiasi Gani kwa mwaka
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo ,wadau deepod,agripoduct njooni humu
Hii ndio wanafanya wengi siku hizi, haina headache kabisa hata wala kodi sio kazi yakonenda Kwenye makampun ya mafuta husika wanaweza ingia ubia na ww wakaweka logo zao ukala percent kwenye kila lita wao ndio wakaendesha kituo
Kuendesha kituo wao hapana labda kula hiyo percentnenda Kwenye makampun ya mafuta husika wanaweza ingia ubia na ww wakaweka logo zao ukala percent kwenye kila lita wao ndio wakaendesha kituo
Kuota nyasi unamaanisha niElezea zaidi ueleweke, Kiko wapi, majengo, ushindani wa Biashara, Kuna vituo vingi kila mahali vinaota nyasi, sasa usikute ni kimoja wapo, na Kuna sababu Kwa Nini kinaota nyasi
Kuota nyasi unamaanisha ni
Andaa andiko la Biashara, then nenda benki kachukue mkopo. Kama huna utaalamu wa kuandaa Andiko Bishara njoo inboxWakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
Fata huu ushauri na ukifanikiwa usahahu kuleta mrejesho kwakuwa information is power and moneyPeleka nyaraka kwa bulk supplier watakupa mzigo on credit
Mafuta unaweza pata kwa mkopo,Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu