Nina kituo Cha mafuta ila Sina pesa ya kununulia mafuta, nifanyaje?

Kama uko serious nichek nikuunge na bulk supplier ninaofanya nao kaz ila kina margin utanipa kwa kila lita
 
Ingia ubia na makampuni ya mafuta, au kikodishe, baada ya miaka miwili utapata mtaji WA kuuza mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…