Nina kituo kinacholea na kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu, nilikuwa naomba kujua njia za kupata wafadhili ili kusapoti kituo changu

Anza kwa Mwampesa, kuna sadaka nyingi kule zitasogeza sogeza kituo.
 
Wewe mpuuzi acha kutetea ujinga. Inashauriwa usijifanye mkristo kuliko kristo mwenyewe. Kama huna uwezo kwanini uwakusanye walemavu huku ukijua watateseka zaidi? Asaidie kulingana na uwezo wake. Watu wenye wito huanza wenyewe kwanza kisha misaada hufuata. Kule Arusha kuna mzee alianzisha Athletics Club kwa kushirikiana na mkewe kwa kile walichojaliwa... mwanzoni ilikuwa ngumu mno... yule mama ndo alikuwa mpishi wa wale vijana... toka mwaka 1997 walikuja kupata ufadhili miaka kadhaa baadae. Kwa hiyo hata mleta uzi ajue kabisa kikawaida mwanzoni inabidi apambane. Watu wakiona anachokifanya watamsapoti.
 
Hainiingii akilini umekuwa na plan haikuwa na wapi utatoa pesa??

kwa mushingo upaande, asante bakusaidia batoto ya kesho, kwa mupande mingine, hii haina diferension na kuchota muakili ya watu kwa kutumia munjia ya mukichwa.
Ethos, Pathos,Logos

Muhumu banatumia Pathos.
Akimaliza banawatukana🫠🫔
 
Kwanza tufafanue maana ya neno ''mpuuzi''. Mpuuzi ni mtu anayejaza ma-chawa kwenye ndege na kuwapeleka nje ya nchi kwa gharama za kodi wakati kuna kina mama hawana hata gloves za kutumika wakati wanajifungua na wakiuliza wanaambiwa wakazalishwe na waume zao. Baada ya hapo turudi kwenye mada: huyu mtu anatakiwa support kwa sababu ameshajitoa kujenga na kuweka miundo mbinu na kituo kimeshaanza shughuli. Ila kwa sababu akili zako zinawaza kula tu hili hukuliona kwenye bandiko lake.
 
kama hakujiandaa kwa jambo dogo kama la kuwalisha mwenyewe na kuwahudumia mwenyewe hata kwa mwaka mmoja au miwili basi atakua mpuuzi
Walipa kodi wa marekani ndio tunatakiwa tule hela zao
 
Kusaidia mtu bila kufaidika ujue nayo ni kazi šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… ukiwa mdhoofu huwezi pata mfadhili.
😁😁 tatizo promo za kuguswa na matatizo hadi kulia. Mhisani anaingia kingi kwa kuamini kuwa mwenye NGO yupo genuine kumbe watu wapo location

Ila yote kwa yote, watu wema bado wapo
 
Najitahidi kujishusha kwenye level ya ujinga wako ila bado unakaza fuvu.
 
Uliazishaa kwa madhumuni gan??... Kama kusaidia Mungu akubaliki ilaa kama kupigaa helaa za misaaada the rest is history... maaana nmeona sehem nying watu wanaazisha center hizo kwa ajili ya MAOKOTO tuu...... Anyway make affiliation with churches..
Na ndio lengo lao hawa watu
 
Kutumia madhaifu ya watoto kupiga pesa ni dhambi kama ulikua huna uwezo ulianzisha cha nini.punguza idadi ya watoto baki na unaowamudu kwa gharama zako
 

Trump akikusikiašŸ˜‚
 
Kama kituo kinatambulika omba ufadhili wa Serikali yetu.

Pia wapo wenye pesa zao pia wanaweza kukupa support.

Je, watoto wapo boarding au day?

Utunzaji wa watoto hao ni gharama mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…