Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi acha kutetea ujinga. Inashauriwa usijifanye mkristo kuliko kristo mwenyewe. Kama huna uwezo kwanini uwakusanye walemavu huku ukijua watateseka zaidi? Asaidie kulingana na uwezo wake. Watu wenye wito huanza wenyewe kwanza kisha misaada hufuata. Kule Arusha kuna mzee alianzisha Athletics Club kwa kushirikiana na mkewe kwa kile walichojaliwa... mwanzoni ilikuwa ngumu mno... yule mama ndo alikuwa mpishi wa wale vijana... toka mwaka 1997 walikuja kupata ufadhili miaka kadhaa baadae. Kwa hiyo hata mleta uzi ajue kabisa kikawaida mwanzoni inabidi apambane. Watu wakiona anachokifanya watamsapoti.Hivi mnadhani kutunza watoto wenye ulemavu aliosema ni kazi rahisi? Wengine hata uwalipe mshahara mzuri watakataa kufanya hiyo kazi. BTW kazi kama hiyo inahitaji usaidizi wa watu wengi, hivyo huwezi kuepuka kuomba misaada. La muhimu ni watoto kupata matunzo yenye kiwango kinachotakiwa, haya ya yeye anafanya kwa malengo gani siyo muhimu. Chawa wa mama Samia kama kina Steve Nyerere au wale waliopelekwa Korea ambao wanamaliza kodi zetu bila kufanya kazi yoyote na huyu anayetaka kuingiza kipato kwa kusaidia walemavu ni nani mbaya? Huyu kama watoto watapata matunzo mazuri hata kama lengo lake ni biashara ni heri mara mia kuliko hiyo mi-chawa ya hovyo kabisa inayomaliza kodi za kutunza walemavu kwa starehe.
Hainiingii akilini umekuwa na plan haikuwa na wapi utatoa pesa??Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je, naomba kuuliza nitapataje wafadhili wakukisapoti kituo changu ili kikue na kuwafikiwa watoto wengi zaidi
Wapo walemavu wa viungo
Wapo wenye Usonji
Wapo vipofu
Wapo viziwi
Wapo wenye mtindio wa ubongo.
Kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu ningependa kupata sapoti na back up kutoka Kwa wafdhili mbali mbali ili kuhakisha tunahudumia watoto wengi zaidi.
Kituo hiki kina Nyumba za kulala watoto zipo .
Miundombinu ipo vizuri
Kipo mikocheni
Karibu Kwa mawazo na ushauri .
Kuhusu idadi ya watoto inafika 50 Ila kituo kinategemea kuweza kua-Accommodate watoto 150
Facilities zote na recreation pamoja na madarasa zipo .
Kwanza tufafanue maana ya neno ''mpuuzi''. Mpuuzi ni mtu anayejaza ma-chawa kwenye ndege na kuwapeleka nje ya nchi kwa gharama za kodi wakati kuna kina mama hawana hata gloves za kutumika wakati wanajifungua na wakiuliza wanaambiwa wakazalishwe na waume zao. Baada ya hapo turudi kwenye mada: huyu mtu anatakiwa support kwa sababu ameshajitoa kujenga na kuweka miundo mbinu na kituo kimeshaanza shughuli. Ila kwa sababu akili zako zinawaza kula tu hili hukuliona kwenye bandiko lake.Wewe mpuuzi acha kutetea ujinga. Inashauriwa usijifanye mkristo kuliko kristo mwenyewe. Kama huna uwezo kwanini uwakusanye walemavu huku ukijua watateseka zaidi? Asaidie kulingana na uwezo wake. Watu wenye wito huanza wenyewe kwanza kisha misaada hufuata. Kule Arusha kuna mzee alianzisha Athletics Club kwa kushirikiana na mkewe kwa kile walichojaliwa... mwanzoni ilikuwa ngumu mno... yule mama ndo alikuwa mpishi wa wale vijana... toka mwaka 1997 walikuja kupata ufadhili miaka kadhaa baadae. Kwa hiyo hata mleta uzi ajue kabisa kikawaida mwanzoni inabidi apambane. Watu wakiona anachokifanya watamsapoti.
Walipa kodi wa marekani ndio tunatakiwa tule hela zaokama hakujiandaa kwa jambo dogo kama la kuwalisha mwenyewe na kuwahudumia mwenyewe hata kwa mwaka mmoja au miwili basi atakua mpuuzi
Tunaanza na tajiri Bantu Lady , Bosslady wa kike humu JfNaamini hata jf wapo, huwa wanagawa sana vocha na wanakiri kwamba wana moyo wa kutoa.
Nacomment ili uzi upande wapate kuuona.
Mshari humu ndani ni MamaSamia2025 tu.Asante mkuu kwa kuwatag, kumbukumbu iliniishia kidogo.
Sidhani kama ni watu wa shari, watalipokea hili jambo kwa moyo mweupe kabisa.
😁😁 tatizo promo za kuguswa na matatizo hadi kulia. Mhisani anaingia kingi kwa kuamini kuwa mwenye NGO yupo genuine kumbe watu wapo locationKusaidia mtu bila kufaidika ujue nayo ni kazi 😅😅😅 ukiwa mdhoofu huwezi pata mfadhili.
Najitahidi kujishusha kwenye level ya ujinga wako ila bado unakaza fuvu.Kwanza tufafanue maana ya neno ''mpuuzi''. Mpuuzi ni mtu anayejaza ma-chawa kwenye ndege na kuwapeleka nje ya nchi kwa gharama za kodi wakati kuna kina mama hawana hata gloves za kutumika wakati wanajifungua na wakiuliza wanaambiwa wakazalishwe na waume zao. Baada ya hapo turudi kwenye mada: huyu mtu anatakiwa support kwa sababu ameshajitoa kujenga na kuweka miundo mbinu na kituo kimeshaanza shughuli. Ila kwa sababu akili zako zinawaza kula tu hili hukuliona kwenye bandiko lake.
Mbona jina lako linaashiria ni la mtu mwenye akili timamu???Mshari humu ndani ni MamaSamia2025 tu.
na huenda ni mwanaume ila basi anajitia uchizi wa kike usiokuwa wake
Hata lako pia, ila kwa kujitoa ufahamu tu haujamboMbona jina lako linaashiria ni la mtu mwenye akili timamu???
Na ndio lengo lao hawa watuUliazishaa kwa madhumuni gan??... Kama kusaidia Mungu akubaliki ilaa kama kupigaa helaa za misaaada the rest is history... maaana nmeona sehem nying watu wanaazisha center hizo kwa ajili ya MAOKOTO tuu...... Anyway make affiliation with churches..
Hapa sasa tumeelewana. Level yangu ya ujinga iko chini na yako iko juu sana na umejirabu kujishusha bila mafanikio.Najitahidi kujishusha kwenye level ya ujinga wako ila bado unakaza fuvu.
Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je, naomba kuuliza nitapataje wafadhili wakukisapoti kituo changu ili kikue na kuwafikiwa watoto wengi zaidi
Wapo walemavu wa viungo
Wapo wenye Usonji
Wapo vipofu
Wapo viziwi
Wapo wenye mtindio wa ubongo.
Kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu ningependa kupata sapoti na back up kutoka Kwa wafdhili mbali mbali ili kuhakisha tunahudumia watoto wengi zaidi.
Kituo hiki kina Nyumba za kulala watoto zipo .
Miundombinu ipo vizuri
Kipo mikocheni
Karibu Kwa mawazo na ushauri .
Kuhusu idadi ya watoto inafika 50 Ila kituo kinategemea kuweza kua-Accommodate watoto 150
Facilities zote na recreation pamoja na madarasa zipo .
Heal bro...Naamini hata jf wapo, huwa wanagawa sana vocha na wanakiri kwamba wana moyo wa kutoa.
Nacomment ili uzi upande wapate kuuona.