Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
- Thread starter
- #41
Yes naelewa mkuuMleta mada tegemea negative nyingi sana kutoka kweye uzi huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes naelewa mkuuMleta mada tegemea negative nyingi sana kutoka kweye uzi huu.
Sema hizi centre wengi wanafungua kwa kutafuta ulaji siku hizi..!!
Asante mkuu kwa kuwatag, kumbukumbu iliniishia kidogo.
Fuata huu ushauri mkuu, tafuta expert wa grants and funds ambae ni mzuri kuorganiae, atakufundisha na kukusaisia yote hayo hata kupitia balozi mbalimbali, lakini kikubwa social adverts pia is very important katika kufikia watu wengi nchi tofauti.1 . Hapo unahitaji grants and fund mobilization experts kwa ajili ya kukufundisha jinsi ya kupata pesa za wahisani ikiwemo kuandika propasals
2. promo promo promo. Kuwa na social media page na website maana wafadhili lazma waone uthibitisho wa umefikia wapi. Usione watu wapo busy kupiga picha na videos za watu walio katika mazingira hatarishi ukadhani wanapenda. Mkakati tu mkuu
3. I assume pesa unayo kwa setting ya hicho kituo. Tengeneza connections zaidi na jamaa wa NGOs maana wana group zao kama secret societies.. Taarifa yoyote hata kama ni grants announcement wanapeana wao kwa wao kirahisi. So ingia kwenye mfumo mkuu.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Kwa dhumuni usaidiwe au wasaidiwe!!! Haya maisha ni nginja nginja haswa smtms kufa kufaana, potelea Mbali.
Km ni toka moyoni, Mungu akuzidishie mazuri kwako!!
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Fuata huu ushauri mkuu, tafuta expert wa grants and funds ambae ni mzuri kuorganiae, atakufundisha na kukusaisia yote hayo hata kupitia balozi mbalimbali, lakini kikubwa social adverts pia is very important katika kufikia watu wengi nchi tofauti.
Tafuta mtu huyo haraka.
Ni watoaji hawawezi kuzingua, km wakizingua basi hawakumaanisha katika kujitolea..!! 😹😹Asante mkuu kwa kuwatag, kumbukumbu iliniishia kidogo.
Sidhani kama ni watu wa shari, watalipokea hili jambo kwa moyo mweupe kabisa.
Dah! Pamoja na nia yako njema ya kutaka kusaidia watoto wenye uhitaji maalumu, lakini pana walakini kidogo. Unasema kimeanzishwa majuzi tu, na leo umeshafloat, je ulikianzisha kwa mhemuko? Toka kukianzisha mpaka sasa ni akina nani walokupa support? Wakati unakianzisha uliwaza picha ya kituo chako miaka 5, 10, 20 kuanzia sasa?
Tafuta biashara nyingine ya kufanya... si unaona Marekani wamesitisha misaada? Siku nyingine kuwa straight kuwa unafanya biashara ya kuwatunza watoto wenye uhitaji na sio kuwasaidia.
Dogo mnafki sana huyu😃
mkuu, i think ni vema tuache hizi nergativity. Ni kweli wengine wanaanzisha kwa maslahi yao, lakini wengine ni kitu wanatamani kufanya ili kweli kusaidia hao watu wenye mahitaji maalum kwa sababu either washawahi kuona wanavopata shida na kunyanyapaliwa na kuishia kua kamacwametelekezwa.Mimi naelewa vizuri hayo mambo wengi mnaazisha vituo ili mpate faida kupitia hao watoto na sio watoto kupata faida kupitia wewe iyo ipo wazi
Hapo tukisema tuje kukagua kituo kina makosa chungu nzima
Hapana! kila kitu kinakua na mwanzo, ndio.sababu anahitaji maoni na ushauri ili aweze kufanikisha kusaidia, hata kama huna uwezo tafuta njia wenye uwexo wakusurportKama kitu huna uwezo nacho ni bora ungeacha kuliko kujitia ukiherehere
Akikosa support watoto watalala njaa??Hapana! kila kitu kinakua na mwanzo, ndio.sababu anahitaji maoni na ushauri ili aweze kufanikisha kusaidia, hata kama huna uwezo tafuta njia wenye uwexo wakusurport
kama hakujiandaa kwa jambo dogo kama la kuwalisha mwenyewe na kuwahudumia mwenyewe hata kwa mwaka mmoja au miwili basi atakua mpuuziAkikosa support watoto watalala njaa??
Ndio hofu yangu hiyokama hakujiandaa kwa jambo dogo kama la kuwalisha mwenyewe na kuwahudumia mwenyewe hata kwa mwaka mmoja au miwili basi atakua mpuuzi
Wewe si ndo mfadhili mwenyewe, unatafuta mfadhili mwingine nani?! Au unataka kupiga pesa kupitia migongo ya walemavu? Hebu kuwa siliazi bwana!Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je, naomba kuuliza nitapataje wafadhili wakukisapoti kituo changu ili kikue na kuwafikiwa watoto wengi zaidi
Wapo walemavu wa viungo
Wapo wenye Usonji
Wapo vipofu
Wapo viziwi
Wapo wenye mtindio wa ubongo.
Kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu ningependa kupata sapoti na back up kutoka Kwa wafdhili mbali mbali ili kuhakisha tunahudumia watoto wengi zaidi.
Kituo hiki kina Nyumba za kulala watoto zipo .
Miundombinu ipo vizuri
Kipo mikocheni
Karibu Kwa mawazo na ushauri .
Kuhusu idadi ya watoto inafika 50 Ila kituo kinategemea kuweza kua-Accommodate watoto 150
Facilities zote na recreation pamoja na madarasa zipo .