Nina laki sita, nifanye biashara gani?

Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.

Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.

Karibuni.
Kopesha kwa riba.
 
Uza viatu vya kiume, sandals ukiona poa changanya na vya wadada. Kariakoo machimbo kibao
 
kama ningekuwa huyu dogo huu ushauri ningepita nao
 
Wa kujipaka

Wadada wa Chuo wanapenda weupe kuliko kula

Wanunuzi wazuri wa mikorogo na vidonge
@Hornet nipm nipate mawasiliano yako kuna jambo la msingi nimekutafuta sana!
 
Kwamba aache chuo kisa laki 6! Interesting
 
Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.

Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.

Karibuni.
Kwahiyo laki sita kama una laptop tayari unaweza ukaenda kuchukua printer mpya ambayo inauwezo wa kuprint, scanning, na kutoa copy ipo EPSON yenye uwezo wa hivyo.

Kuanzia hapo wateja wako wa kwanza ni wale wanaokuzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…