Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo vyuo vya Dar, uza nguo kama vile Tshirts, boxers, mashati, kadets etc. Hiyo hela inatosha kabisa kama una muda.Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.
Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.
Karibuni.
AhsanteKama upo vyuo vya Dar, uza nguo kama vile Tshirts, boxers, mashati, kadets etc. Hiyo hela inatosha kabisa kama una muda.
Unaweza pia ukaamua kuuza kalamu, madaftari na karatasi kwa wanafunzi wenzako.
Hiyo hela sio ndogo. Kila kiasi cha pesa inaweza kuanza biashara.
Za usoTrade forex!
Hapa atashikana mashati na watu.Kopesha watu warudishe kwa riba..
Kwa mfano elf kumi kwa wiki akuletee alfu kumi na mbili.
Mkorogo wa nn?
Wazo ni ww mwenyewe usifanye biashara kwa kuona mtu fulani anajifanya au kwa kuambiwa do research pleaseNi mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.
Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.
Karibuni.
Sendo za kimasai njoo ununue kwangu Kwa jumla uuze hutojutia inazunguka sana Tena Kwa haraka na utapata hela nzuri tu no unatoa advance halafu zingine unamalizia baada ya mzigo Keisha kama unandugu Arusha aje alone tunapo fanyia kazi aje tu hakuna shida .Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.
Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.
Karibuni.
Wazo la kwanza bora sana na halina stress.Biashara nyingi zinafeli kwa kukosa usamamizi mostly na maarifa sahihi ya hiyo biashara husika.
Kwa kuanzia hakikisha biashara yoyote unayoianzisha wewe ndio unaisimamia, hapo kwa mwanzoni.
Hapo mambo yakiharibika wewe ndio responsible na umekuwa umejifunza valuable lesson.
Tofauti na ukimpa mtu wengi wanakuwa hawana Ile commitment ambayo umekuwa nayo wewe.
Kuhusu maarifa hii inakuhusu wewe mwenye biashara ni jukumu lako kutafuta maarifa sahihi ya biashara utakayotaka ifanya.
Biashara.
1.Kwa chuoni nunua cheap laptop na printer ndogo ya hp (zile za 3 in 1, yaani photocopy printing and scanning) Anza kuprint,kutoa copy kazi za wanachuo wenzako, hii unaanzia kwenye hostel ndani ya room yako, mdogo mdogo mambo yanakwenda. Wino ukiisha unajaza ule wa kuchoma, unaua cartridge lakini mpka ife ushachoma mara kadhaa na ushapiga pesa kiasi chake.
2.Tafuta simu ndogo mbili za lakini mbili mbili tia laini tofauti Anza kuwaunganisha watu vifurushi. Cha week, cha siku, whatever it is, you are making money. Ukikua utaanza na tigo pesa, mpesa and the likes.
Ukijidediketi vizuri hizi mbili zitakupa mtaji wa kufikiria the next big thing.