Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau mkiuanganisha mtanikwaza sana.
 
Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu.
Nenda kwenye uzi wa betting au uwe unampa man u ashindwe asale Kila game
 
Back
Top Bottom