Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

kinachotucost ni tamaa, mimi huwa nikiweka odds 2 nakula sana ila tamaa, kwenye live hiyo hiyo kuna siku naweka odds 1000+ zinachana timu 2 au moja. Jmosi mida ya saa 10-12 jioni kwenye live game huwa ni nyingi sana, ukiweka tamaa pembeni hukosi ela.
Kuna kijana tamaa ilimtajirisha. Anawekaga yale ya makaratasi marefu kwa elfu moja. Sasa hivi ana nyumba nzuri mno imetokana na betting. Ila huwa anafanya kama mchezo maana ana kazi yake rasmi. Kijana mmoja smart.
 
Nunua correct score zile naonaga watu wanapost million 8 wengine 6. Mfumo wao ni kuwa unanunua mkeka 160-180 kabla haujaanza then unatupia kati ya 20,000 mpaka 50,000 kwa mtaji huo ukipiga mara odds 200+ ni hela ndefu sana.
Wauzaji wa sure odds ni matapeli waliochangamka.
Kama elfu 7 wanakuambia ni uhakika utapata million 12 kwanini wenyewe wasiweke elfu 70 wapate millioni 120?
Wale wateja wao wakubwa ni wajeda na police kwakuwa wamewaona wengi ni zero brain
 
Kama elfu 7 wanakuambia ni uhakika utapata million 12 kwanini wenyewe wasiweke elfu 70 wapate millioni 120?
Kuna maswali yanafungua akili iliyolala ila ndo hivyo kuna zilizokufa. Kuna mtu atakusoma hapa na atazitafuta hizo sure na ataliwa na atajaribu tena ataliwa atajaribu tena atapata atasahau alivyoliwa mara mbili atajaribu tena...........
 
Bet kama hivyo. Hapo ni demo ya formula ninayotaka kwenda nayo msimu huu. Hiyo ni live betting. Hii formula inanipa matokeo chanya 99%.

Shida yangu ni moja tu, siwezi vumilia nisiwe na mkeka active. Kwahiyo najikuta naenda nje ya formula, namfaidisha muhindi.

Tangu nianze na hiyo formula, sina hasara
 
Attachments

  • Screenshot_20240731-100345.png
    Screenshot_20240731-100345.png
    91.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20240731-100345.png
    Screenshot_20240731-100345.png
    91.8 KB · Views: 14
Bet kama hivyo. Hapo ni demo ya formula ninayotaka kwenda nayo msimu huu. Hiyo ni live betting. Hii formula inanipa matokeo chanya 99%.

Shida yangu ni moja tu, siwezi vumilia nisiwe na mkeka active. Kwahiyo najikuta naenda nje ya formula, namfaidisha muhindi.

Tangu nianze na hiyo formula, sina hasara
Kampuni Gani hii
 
Wewe mtoto wa Dar es salaam natamani nikupe mbinu zangu au nikupe namba na password za akauntu yangu ya wasafi bet ukayaone maajabu ya mtoto mwenzio wa Dar Ila naogopa sisi watu wa huko utapeli nje nje ,usije badili akaunti yangu iwe yako mwisho nibaki kulia .

Sasa sijui nikisaidieje homeboy maana kwa huo mtaji utajiri ni kugusa kabisa ,mwenzio Sasa hivi sinywi tena pombe za kudandia ni mwedo wa zungusha kibaba maana Mimi napendelea ulanzi tu .

Sasa sijui nikusaidieje homeboy embu toa njia salama ya Mimi kutokutapeli na wewe usinitapeli nikuoneshe mbinu kwa vitendo kwenye mikeka yangu
 
Nitajie jinsi unavyobet formula Yako
 
Back
Top Bottom