Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujielewiBora uifukie inaweza kuzaa nyingine. Kuliko kubetia
OkayRisk
Pole,mimi ni joker ila sikushauri UFANYE UPUMBAVU HUO.hyo hela ndogo sana unaweza kuchoma ndani ya dakika 10.achana na hyo biashara.Hujielewi
Wewe ambaye hujafanya hivi na unanipa pole una utajiri Gani mpaka Sasa hiviPole,mimi ni joker ila sikushauri UFANYE UPUMBAVU HUO.hyo hela ndogo sana unaweza kuchoma ndani ya dakika 10.achana na hyo biashara.
Unaelewa maana ya joker?Wewe ambaye hujafanya hivi na unanipa pole una utajiri Gani mpaka Sasa hivi
Hyo ni payment history yangu ndogo tu ya parimatch.unaweza kufika huko? Si utakuwa chizi.Wewe ambaye hujafanya hivi na unanipa pole una utajiri Gani mpaka Sasa hivi
Dah we jamaa😂😂😂Wauzaji wa sure odds ni matapeli waliochangamka.
Kama elfu 7 wanakuambia ni uhakika utapata million 12 kwanini wenyewe wasiweke elfu 70 wapate millioni 120?
Wale wateja wao wakubwa ni wajeda na police kwakuwa wamewaona wengi ni zero brain
Ndio uchafu Gani huo kumbe masikini aisee huna Cha kunishauriHyo ni payment history yangu ndogo tu ya parimatch.unaweza kufika huko? Si utakuwa chizi.
Huu ugonjwa tunaumwa wengi😂😂😂Bet kama hivyo. Hapo ni demo ya formula ninayotaka kwenda nayo msimu huu. Hiyo ni live betting. Hii formula inanipa matokeo chanya 99%.
Shida yangu ni moja tu, siwezi vumilia nisiwe na mkeka active. Kwahiyo najikuta naenda nje ya formula, namfaidisha muhindi.
Tangu nianze na hiyo formula, sina hasara
Sawa,kumbe upo kubishana acha nikuacheNdio uchafu Gani huo kumbe masikini aisee huna Cha kunishauri
Huwa hawapendi kuambiwa ukweli.Dah we jamaa😂😂😂
Nikajua ni tajiri unaenishauri hivi kumbe fukaraSawa,kumbe upo kubishana acha nikuache
Nina mwanangu mshika bunduki maisha yalimbadilikia ndani ya wiki moja😓😓😓Huwa hawapendi kuambiwa ukweli.
Nenda Mwenge utaona wajeda wanavyokwenda kununua hizo odds.
Ni dalili ya utahira, wanashindwa kujiuliza kama zinalipa kwanini muuzaji ni maskini?
Kwanini muuzaji asiweke mkeka wa million abutue mabilioni?
Nchi imekuwa ngumu sana hii, betting nayo imekuwa uwekezaji sasa.
Leo nimebamizwa mchana kisa kwenda nje ya formula. Hapa najisonya tuHuu ugonjwa tunaumwa wengi😂😂😂
Yaani muda wote natamani niwe na bet active
Ilikuaje aisee tupe stori mkuuNina mwanangu mshika bunduki maisha yalimbadilikia ndani ya wiki moja😓😓😓
Kutoka kuwa faza house mpka mpangaji yote sababu ya correct score
Tulikuwa tukikutana home tunaanda kitu kwa odds chache tuu ama live game kwa odds kidogo 1.2-2.00, Mafanikio yalikuwepo sio haba japo kupoteza ni sehemu ya "uwekezaji"😂😂Ilikuaje aisee tupe stori mkuu
Hiyo ya tamaa Kila biashara ukiifanya kitamaa inakula kwakoTulikuwa tukikutana home tunaanda kitu kwa odds chache tuu ama live game kwa odds kidogo 1.2-2.00, Mafanikio yalikuwepo sio haba japo kupoteza ni sehemu ya "uwekezaji"😂😂
Sasa kuna jamaa walikutana kwenye ma group ya whatsapp akampanga masuala ya correct score, Mwanangu akajaa nikamzuia ila akaamua kunizunguka alipewa kama game 3 mfululizo zikawa zinatoa bila mchizi kuniambia
Lost zilipoanza kuingia na mwamba imani ishakuwa kubwa make hata mizigo aliyokuwa anaweka sio haba alianza na 100k,500k akiamini ata refund hasara zote😓😓😓 Mwisho alipoteza vingi sana
NB:Betting either uifanye kwa starehe ama kwa kutafuta hela kama kazi nyingine ni chaguo la mtu ila tuu TAMAA inatakiwa iwe mbali na wewe. TAMAA ndo adui namba moja wa "WAWEKEZAJI"😂😂😂😂😂😂😂😂