Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

Achana na betini fikiria cha kuanzisha na hiyo hiyo laki5
 
Wewe mpaka Sasa hivi unautajiri kiasi gani mkuu ulivyoachana na betting
Nimefanikiwa na wala si Tajiri,na wala si kwa bahati nasibu mfereji wangu wa kufanikiwa hakufanikiwa kukatiza katika michezo ya bahati nasibu,,Kama wewe mfereji wako wa kufanikiwa umekatiza huko,,vuruga mzee wala si dhambi.
 
Njoo mimi ninakupa odd 1.22 bure
 
Njoo ucheze Shortfootball 1xbet Hakika mwakani hufiki ushatimiza
0768158999 Whatsapp
 
Halafu utakuta wanaodiss kubeti ni walevi wanapoteza walau Elfu 10 kila weekend, kwa kununua bia
Ila akiona mwenzake amechukua Elfu 10 kubet anamuona bogas kabisa!

Hajiulizi kuwa kununua pombe Elfu 10 ni kupoteza Elfu 10,

Lakini kubeti Elfu 10 ni either kupoteza Elfu 10 au kuzalisha Elfu 10 zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…