Mechanical
Member
- Oct 20, 2020
- 70
- 106
Sawa, wakuu mliokaribu na hiyo fursa mpigeni tafu kijanaWanalipa ila sio sanaa.... Mbali na kulinganisha malipo. kazi ya udereva ni kazi ninayoipenda zaidi. sijaichagua sababu tu ya kuamin kuwa inamalipo zaid kulinganisha na hii nayoifanya sasa., nimeichagua sababu naipenda kuifanya na itaiweka katika mazingira tofauti tofauti ya kijifunza vitu vipya kuliko hii ya sasa inayoniweka katika mazingira ya eneo moja.
Habari wana jamii, naomba kurudia kutagaza post yangu..
Connection za kaz ya shell zinataka mpaka ujuane na maneja wa kituo hicho........na sio kupitia kwa mfanyakazi wa sheli hiyo kwa sababu atupewi ruhusa ya kutafuta mtu pale anapoitajikaMkuu naomba connection kwenye hiyo kazi ya sheli