Mechanical
Member
- Oct 20, 2020
- 70
- 106
Habari wana jamii,
Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco
Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi wa magali.
Kwa sasa nafanya kazi hapa Mbeya ya pump attendant.