punguza makasiriko, nyie wenye leseni za zamani ndio mmesababisha yote haya, mlikuwa mnasababisha maajari kila siku, sasa hivi unaambiwa ukasome unakaza fuvu, nenda kasome huwezi tupa leseni Pambaav
Unawachukia TRA bure kwa sababu wao sio wanaotunga sheria, TRA ni mtekelezaji wa sheria iliyotungwa bungeni. Hivyo nadhani ungefuata tu utaratibu kila kitu kitakua sawa.