Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #41
Hajui hata kuendesha gari leseni ya nini?Hivi mkuu ushawahi kwenda kurenew leseni kubwa kupitia polisi au unabonga tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui hata kuendesha gari leseni ya nini?Hivi mkuu ushawahi kwenda kurenew leseni kubwa kupitia polisi au unabonga tu?
Tangu vijana muanze kuendesha vi -IST tunavyowahonga dada zenu mnatupa shida sana barabarani!punguza makasiriko, nyie wenye leseni za zamani ndio mmesababisha yote haya, mlikuwa mnasababisha maajari kila siku, sasa hivi unaambiwa ukasome unakaza fuvu, nenda kasome huwezi tupa leseni Pambaav
Umehonga shs ngapi tujue kiwango? Maana sidhani kama cheti kinapatikana PolisiSio tu unapewa bila cheti, ila unapewa na barua ya kuthibitisha hayo madaraja. Mimi ninayo nimepewa juzi juzi tu.
Kila siku naota Tanzania Polisi hawapo, TRA hawapo, ni raha tupu!Kwahio mnatakaje Mbowe must go, Ccm must go..?
Yamekuwa hayo toka lini, mwaka jana nilirenew bila cheti. Wakiniomba itakuwa balaaPole Sana
TRA Wanataka Cheti Vinginevyo Uende Police