Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

punguza makasiriko, nyie wenye leseni za zamani ndio mmesababisha yote haya, mlikuwa mnasababisha maajari kila siku, sasa hivi unaambiwa ukasome unakaza fuvu, nenda kasome huwezi tupa leseni Pambaav
Tangu vijana muanze kuendesha vi -IST tunavyowahonga dada zenu mnatupa shida sana barabarani!
 
Sio tu unapewa bila cheti, ila unapewa na barua ya kuthibitisha hayo madaraja. Mimi ninayo nimepewa juzi juzi tu.
Umehonga shs ngapi tujue kiwango? Maana sidhani kama cheti kinapatikana Polisi
 
Unawachukia TRA bure kwa sababu wao sio wanaotunga sheria, TRA ni mtekelezaji wa sheria iliyotungwa bungeni. Hivyo nadhani ungefuata tu utaratibu kila kitu kitakua sawa.
 
Back
Top Bottom