Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Yeah, tangawizi na karafuuTangawizi na Karafuu master sema utadinda dinda hovyo ila sio kesi
Asante, sijaenda hospital, sijisikii vibaya sanaaa, ikiendelea kesho nitaenda.Pole sana aisee Hospt umeenda?
Haiwezekani!Covid
Asante, ndimu nakamulia au nachemsha pia?Tangawizi ndimu chemsha unywe
Dawa ya mafua n uboo tuuHawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******π€§π€§π*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane.
Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa πππ. Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote ππ!
Niko serious mjue π π π leo siumwi ugonjwa huo wa kupasha.Mcheki jamaa mpashe
Umeshindikana wewe π πDawa ya mafua n uboo tuu
Sawa asante, huu mchanganyiko tayari niko naunywa!Yeah, tangawizi na karafuu
Umenitisha nimeogopa, ngoja niagize kiself test!COVID ipo kiaina angalia usiache mwili
Dawa ya mafua huwa ni kufanya mazoezi makali lakini kwa sababu weye ni mshangazi hustahili mazoezi mengine zaido ya kuwashiwa faya katika sita kwa sitaπHawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******π€§π€§π*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa πππ.
Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote ππ!