Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.

Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?

View attachment 3340071

******🤧🤧🙃*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa 😂😂😂.

Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote 😂😂!
Piga nyungu wewe.
 
nenda hosp
 
Dawa ya mafua huwa ni kufanya mazoezi makali lakini kwa sababu weye ni mshangazi hustahili mazoezi mengine zaido ya kuwashiwa faya katika sita kwa sita😎
Mupenziii, mazoezi nafanya maana niko kwenye pilika pilika za kupungua.
Siyo lazima mizagamuano tu 😂
 
Back
Top Bottom