secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
We dharau mawazo yaliyo chanya, utashindwa kusaidiwaSiyo kweli bwana acha mawazo hayo ndege
We dharau mawazo yaliyo chanya, utashindwa kusaidiwaSiyo kweli bwana acha mawazo hayo ndege
Huyo ndege yeye anapenda kutiwa tu muda woteSiyo kweli bwana acha mawazo hayo ndege
Asante sana kwa kunifafanulia, nitafanya hivyo 🙏Unakata au unasaga tangawizi ndimu unaosha haumeny unakata kata vipande 4 unaweza ongeza na garlic unachemsha kabla haijapoa unakunywa
Faida
Itafungua Upper airway
Ndimu ni vitamin C itaboost immunity
ZIADA
Ukiweza kwenye mkusanyiko vaa barakoa
Unawaza kufukolewa tu ujinga mbuziWe dharau mawazo yaliyo chanya, utashindwa kusaidiwa
Ondoa shobo, leo fyuzi yangu fupi, nitakutukana nipigwe ban bure!Lazima upwaye kama unapenda kuwa treated kama mwanamke why usipwaye? Sisi wanaume wengine tunaendelea kupinga hizi tabia za kujifanya nyie ni wanawake. Tuwatongoze kisha mtake tupatia utumbo.
Njoo nikufokoe mkuu kama bacteria wanakutwisti.Unawaza kufukolewa tu ujinga mbuzi
Sawa, shukrani 🙏Maganda ya Limao chemsha kunywa kijiko kimoja ×3
Nend pharmacy waambie wakupe brustan tablet na toff plus ya mafua zile za chenga chengaHawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******🤧🤧🙃*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa 😂😂😂.
Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote 😂😂!
Haya ni mawazo hasi ndegeWe dharau mawazo yaliyo chanya, utashindwa kusaidiwa
Fanya hivyo 😎Ondoa shobo, leo fyuzi yangu fupi, nitakutukana nipigwe ban bure!
😁😁😁😁😁😁nimecheka sana mkuuHuyo ndege yeye anapenda kutiwa tu muda wote
Loooh wewe bado una ashiki za jana nini 😂 😂 😂Naomba fanya ma-creativity ufungue Uzi kama ule wa jana usiku ili mori zitupande, wasio na uwezo wa simamisha nao wasimamishe michezo ya kwa 🛏️ iendelee.
Mbaga Jr
Ondoa shobo, leo fyuzi yangu fupi, nitakutukana nipigwe ban bure!
Hayo mawazo yachunguze kwa kina uone kama hutanishukuru.Haya ni mawazo hasi ndege
Mmmh hapo kwenye pilipili nimeogopa 😔Ndio ni pilipili kali, ila kama una presha ya kushuka usitumie.
Ushafokolewa mara ngapi kwa hio na unataka nikufokoe mara ngapi?Njoo nikufokoe mkuu kama bacteria wanakutwisti.
Na itakuwa vizuri mkiji karantini na mwenzako.Tatizo hayo maneno yenu mengine mnayotumia siyajui, kumbe ulimaanisha kujifukiza, basi nimekuelewa!
Unapenda kufokolewa tuHayo mawazo yachunguze kwa kina uone kama hutanishukuru.
Asante 🙏Nend pharmacy waambie wakupe brustan tablet na tiff plus ya mafua zile za chenga chenga