Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Utajuaje huu ni ushauri wa daktari na huu ni ushauri wa ambae sio wa daktari?
Ushauri mwingi ninaopokea ni wa hizi dawa za vyakula au vinywaji.
Nikipata wa kitabibu, either nitamfuata daktari DM kwanza kupata taarifa zaidi au nitamuuliza daktari mwingine kesho nikienda hoospital.
 
Utathibitisha vipi ni daktari na anayo leseni ya kuruhusiwa kufanya kazi za utabibu?
🤔 🤔
giphy.gif
 
Back
Top Bottom