Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.

Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?

View attachment 3340071

******🤧🤧🙃*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa 😂😂😂.

Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote 😂😂!
Ule uzi si mchezo.
Naona mods wameufunga tusiendelee kumwaga mautamu.
Wamenikera sana
 
Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.

Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?

View attachment 3340071

******🤧🤧🙃*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa 😂😂😂.

Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote 😂😂!
Corona imerudi jamani
 
Wahi kumeza AZUMA na anza mazoezi mepesi haraka sana. COVID ipo mjini
 
Back
Top Bottom