Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa

Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni

Nadhani wote tunamkumbuka Peter Msigwa alivyokuwa mjenzi mahiri wa hoja mkakamavu jasiri aliyejiamini na kupendwa sana nyumbani kwake Iringa na Tanganyika kwa ujumla

Haijapita hata mwaka Keshasahaulika kwenye medani za siasa za Tanganyika
Haandikwi tena

Hafuatwi kwenye press conference tena
Hana hoja tena

Kapotea na kapotezwa.. Lakini lililo baya sana ni mtu wa kaliba yake kubebeshwa picha kubwa ya mtu na kutembezwa nayo mbele ya macho ya kadamnasi.. Ile walimtusi!

Mfano wa pili ni wale waliokuwa CHADEMA walipojiunga na chauma na kufanya uzinduzi wq kuwapokea wanachama 3000 wa CHADEMA pale Ubungo plaza

Niliona sura tofauti kabisa kwenye miili ileile.. Sura zile angavu zenye nuru na kujiamini ndani ya CHADEMA ziso zilizokuwa pale Ubungo

Mbaya zaidi kila aliyepewa kipaza sauti alifanya futuhi na kuongea hallucinatinations.. City vya kufikirika visivyo na uhalisia kabisa!

Kwa kubabaika sana na kigugumizi kingi walikuwa wanasema adui yao ni ccm na wamekuja rasmi kuitoa ccm madarakani😂

Salum yeye akasema ataanza ziara za kichama na kwa siku 16 atakuwa ameizunguka Tanganyika yote kwa kutumia chopa😂😂😂

Kila aliyesimama alijitahidi kutoa boko kumzidi mwenzake... Nikakumbuka ya Msigwa na wengine nikqkumbuka na ya makada wa chama chawala mitandaoni.. Nikaona akili na mitazamo yao vina tally..
Kwa haya machache niliyoyaona.. Kuna namna kuna kitu kinafanywa kuwafanya mazombi.. Kama si tunguli basi ni madawa yasiyojulikana🥺🥱😭😭😭

Na Kama huamini subirini wakija kuchangia hapa!
 
CCM ni chama cha misukule.
IMG-20250521-WA0108.jpg
 
CCM wanatengeneza umaskini halafu mamlaka zote za kuwatetea Raia zimekaribishwa meza kuu wanakula kuku.
Baada ya hapo wanawatengezea watu kama Mbowe kuwatia moyo "raia wanyonge na masikini"
 
Hawa watu siamini hata kidogo,

Boniface Jacob,
Martin Maranja Masese,
Yeriko Nyerere,

Na wengine wengi nahisi ni mapandikizi ya CCM.

Kuna Godbless Lema kuna muda unahitaji akili kumuelewa.

Kuna Dogo anaitwa Edgar Mwakabela au Sativa anasumbua huko Twitter naye nahisi ni pandikizi.

CCM ni dude lenye akili mingi mno,wamejua kupenyeza virus kila sehemu .

Upinzani halali ni hawa

Tundu Lissu,

Mch,Msigwa huyu ingawa yupo CCM lakini ni CDM damu.

John Heche,huyu ni mzalendo na mtiifu Kwa Chama chake.

John Mnyika ni kwakuwa ana cheo kikubwa huko CDM but angekuwa kashahama muda.

Freeman Aikael Mbowe Huyu ana maumivu mno ,anaipenda CDM kuliko chochote,bahati mbaya upepo ukaenda sivyo huyu anatamani TAL ashindwe then arudi kuwa kiongozi mkubwa tena,

Ana hasira,ana chuki,anaumia moyoni, bahati nzuri amechagua kukaa kimya
 
Hakuna cha ushirikina wala dawa.
Ni kwamba watu wenye akili ni wachache sana, na kati ya hao, wanaozitumia ni wachache zaidi.
Asilimia kubwa ya watu duniani hawana akili na wenye nazo hawazitumii ipasavyo.
Hii siyo habari ya CCM na upinzani bali ni jumla ya mambo yote yahusuyo watu.
Hali huwa mbaya zaidi kwa mataifa/jamii zinazoruhusu wasio na akili kupata madaraka.
 
Hawa watu siamini hata kidogo,

Boniface Jacob,
Martin Maranja Masese,
Yeriko Nyerere,

Na wengine wengi nahisi ni mapandikizi ya CCM.

Kuna Godbless Lema kuna muda unahitaji akili kumuelewa.

Kuna Dogo anaitwa Edgar Mwakabela au Sativa anasumbua huko Twitter naye nahisi ni pandikizi.

CCM ni dude lenye akili mingi mno,wamejua kupenyeza virus kila sehemu .

Upinzani halali ni hawa

Tundu Lissu,

Mch,Msigwa huyu ingawa yupo CCM lakini ni CDM damu.

John Heche,huyu ni mzalendo na mtiifu Kwa Chama chake.

John Mnyika ni kwakuwa ana cheo kikubwa huko CDM but angekuwa kashahama muda.

Freeman Aikael Mbowe Huyu ana maumivu mno ,anaipenda CDM kuliko chochote,bahati mbaya upepo ukaenda sivyo huyu anatamani TAL ashindwe then arudi kuwa kiongozi mkubwa tena,

Ana hasira,ana chuki,anaumia moyoni, bahati nzuri amechagua kukaa kimya
Ana hasira,ana chuki,anaumia moyoni, bahati nzuri amechagua kukaa kimya🥺🥺🥺😏
 
Ahaaaa 😁😁 Sisiemu kiukweli inakuaga na Vilaza Sana .

Mama yangu ni mjumbe wa sisiemu hakika bongo yake imeparaganyika ile mbaya japo nimesikia tetesi kuwa ile sindano ya Covid ndo imeua bongo Ila hapana ni sisiemu .
Umefikia kumuita mama yako kuwa bongo yake imeparanganyika?Hiyo tu ni laana.Ndio maana wengi mmechanganyikiwa.
 
Hawa watu siamini hata kidogo,

Boniface Jacob,
Martin Maranja Masese,
Yeriko Nyerere,

Na wengine wengi nahisi ni mapandikizi ya CCM.

Kuna Godbless Lema kuna muda unahitaji akili kumuelewa.

Kuna Dogo anaitwa Edgar Mwakabela au Sativa anasumbua huko Twitter naye nahisi ni pandikizi.

CCM ni dude lenye akili mingi mno,wamejua kupenyeza virus kila sehemu .

Upinzani halali ni hawa

Tundu Lissu,

Mch,Msigwa huyu ingawa yupo CCM lakini ni CDM damu.

John Heche,huyu ni mzalendo na mtiifu Kwa Chama chake.

John Mnyika ni kwakuwa ana cheo kikubwa huko CDM but angekuwa kashahama muda.

Freeman Aikael Mbowe Huyu ana maumivu mno ,anaipenda CDM kuliko chochote,bahati mbaya upepo ukaenda sivyo huyu anatamani TAL ashindwe then arudi kuwa kiongozi mkubwa tena,

Ana hasira,ana chuki,anaumia moyoni, bahati nzuri amechagua kukaa kimya


Mbowe alikuwa anasema siasa zimemfanya amefurisika .

Tundu lissu akamuuliza hivi huyu mbowe mnayesema ni Billionea na tajiri je anafanya biashara gani isiyo na jina.

Kumbe udalali
 
Back
Top Bottom