Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa
Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni
Nadhani wote tunamkumbuka Peter Msigwa alivyokuwa mjenzi mahiri wa hoja mkakamavu jasiri aliyejiamini na kupendwa sana nyumbani kwake Iringa na Tanganyika kwa ujumla
Haijapita hata mwaka Keshasahaulika kwenye medani za siasa za Tanganyika
Haandikwi tena
Hafuatwi kwenye press conference tena
Hana hoja tena
Kapotea na kapotezwa.. Lakini lililo baya sana ni mtu wa kaliba yake kubebeshwa picha kubwa ya mtu na kutembezwa nayo mbele ya macho ya kadamnasi.. Ile walimtusi!
Mfano wa pili ni wale waliokuwa CHADEMA walipojiunga na chauma na kufanya uzinduzi wq kuwapokea wanachama 3000 wa CHADEMA pale Ubungo plaza
Niliona sura tofauti kabisa kwenye miili ileile.. Sura zile angavu zenye nuru na kujiamini ndani ya CHADEMA ziso zilizokuwa pale Ubungo
Mbaya zaidi kila aliyepewa kipaza sauti alifanya futuhi na kuongea hallucinatinations.. City vya kufikirika visivyo na uhalisia kabisa!
Kwa kubabaika sana na kigugumizi kingi walikuwa wanasema adui yao ni ccm na wamekuja rasmi kuitoa ccm madarakani😂
Salum yeye akasema ataanza ziara za kichama na kwa siku 16 atakuwa ameizunguka Tanganyika yote kwa kutumia chopa😂😂😂
Kila aliyesimama alijitahidi kutoa boko kumzidi mwenzake... Nikakumbuka ya Msigwa na wengine nikqkumbuka na ya makada wa chama chawala mitandaoni.. Nikaona akili na mitazamo yao vina tally..
Kwa haya machache niliyoyaona.. Kuna namna kuna kitu kinafanywa kuwafanya mazombi.. Kama si tunguli basi ni madawa yasiyojulikana🥺🥱😭😭😭
Na Kama huamini subirini wakija kuchangia hapa!
View attachment 3342484