Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

Umefikia kumuita mama yako kuwa bongo yake imeparanganyika?Hiyo tu ni laana.Ndio maana wengi mmechanganyikiwa.

Wewe mama yangu unamjua kuzidi Mimi ninavyomjua Mkuu ?.

MTU anayeamua kuacha Biashara zake zinazoendesha maisha yake na kuamua kuwa chawa wa wagombea Ubunge na madiwani na kuamua kujiingiza kwenye siasa za wizi huo ujumbe ameupataje ?

Mwaka 2019 aliupata kwa uchafu then 2024 the same.

Mimi nampenda mzazi wangu na hatuna ugomvi Ila tumetofautiana Sana mtazamo.
 
Mimi nampenda mzazi wangu na hatuna ugomvi Ila tumetofautiana Sana mtazamo.📌🔨
 
Mnyika ni kada mtiifu wa CCM. Ikumbukwe ndo alisaini barua ya Covid19. Lema sio CCM ila ni mtu mwenye kashfa ya kuuza ubunge wake mara mbili. Angeuza kwa mara ya 3 ila wapiga kura walikuwa wakali mno akashindwa. Kimsingi CHADEMA ina wanaCCM wengi watiifu.
 
Nasema tena mpaka kufika October tutashuhudia mashetani wakijivika mbawa wawe Malaika na Malaika watajiotesha mapembe wawe mashetani
 
Kwani wewe hadi leo hujui tena siyo kitengo Bali watumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu watu kurubuniwa kwa hali na mali ili wakengeuke hadi kuahirisha kufikiri na kujizima data kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
 
Kuna namna Mungu anatutesa kwa matendo bila sisi kujua..
 
Boss hii hali ya kutokubali ukweli kwa sababu tu unakuhusu ndo inazalisha wanafki wengi unakuta mtu kila polisi wanapozingua anawatetea kisa tu kaka yake polisi
 
. Kuna namna kuna kitu kinafanywa kuwafanya mazombi.. Kama si tunguli basi ni madawa yasiyojulikana
Kuna kitu kimoja tu, kinacho waunganisha wote hao ulio wataja. Hadaa ya Pesa!

Lakini umemtaja Mchungaji(?) Msigwa. Pamoja na kumpamba ulikokufanya, Msigwa hata siku moja hakuwahi kunikoga sana moyo wangu. Ni mtu hafifu sana. Kumbuka hata huko nyuma ndani ya chama alivyokuwa akiyumbayumba, mathalani; ubinafsishaji wa mbuga za wanyama.
Jambo moja tu, muhimu, lililo nivuta sana na kumtazama kivingine kidogo, ni sakata la Magufuli kumwekea dhamana pale gerezani Ukonga. Nje ya hapo; sina linalonivutia kwa mtu huyo.

Sasa mimi ngoja nikupe mfano halisi wa mtu anaye nishangaza, na ataendelea kunishangaza ni kitu gani kilivuruga akili yake: HALIMA MDEE!. Ni mara ya pili leo nikimtaja, na nina hakika muda si muda, na yeye atakuwa kwenye taarifa hivi karibuni. Huyu sijui kama ni pesa, kama pesa; au kuna kitu cha ziada kilichofanya akabadilika kabisa na kuwa alivyo.

Mwisho: Sijui kweli ni Pesa tu kuhusu Mbowe?
Hapana. Mbowe mbali ya pesa, sasa ni wazi MADARAKA na SIFA ni vimelea muhimu vinavyo mwendesha afanye mambo ya ajabu kabisa!
 
Mbowe alikuwa anasema siasa zimemfanya amefurisika .

Tundu lissu akamuuliza hivi huyu mbowe mnayesema ni Billionea na tajiri je anafanya biashara gani isiyo na jina.

Kumbe udalali
Nimecheka sana.
Ukikaa na kutafakari kwa kina, jibu hilo ni sahihi kabisa.
Jamaa alitumia 'illusion" tu kuhadaa watu juu ya utajiri mkubwa aliokuwa nao!
 

Money is the soap of heart
 
Ahaaaa 😁😁 Sisiemu kiukweli inakuaga na Vilaza Sana .

Mama yangu ni mjumbe wa sisiemu hakika bongo yake imeparaganyika ile mbaya japo nimesikia tetesi kuwa ile sindano ya Covid ndo imeua bongo Ila hapana ni sisiemu .
Wewe utakuwa tahira kama unaweza kumtukana mama yako aliyekufikisha hapo!!😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…