Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

Wana siasa wote ni majambazi...hakuna dawa wala nini siasa ni aina ya ujambazi amini usi amini...hakuna mtu nilikuwa nampenda na kumuamini kama mzee MWAKYEMBE...!

Ila alikuja kunichefua dakika za mwishoni nikahitimisha kuwa wanasiasa wote ni majambazi...!​
 
Ana hasira,ana chuki,anaumia moyoni, bahati nzuri amechagua kukaa kimya๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿ˜
Nimejifunza kitu kwa kaka yetu Paschal kwamba, Ukweli tuutunze una mahala pake. Ila ukiamua ukautoa sehemu ambayo auhitajiki lazima utakugharimu.

Na nilisikiliza clip ya Mdude ya zamani nikaanza kuwa na mashaka na JF kwamba hatuko safe au kuna watu ukamatwa kijinga, hasa wale wanao enda DM hudakwa kwenye Honey Traps kule jukwaa la MM.

Kuna mtoto alikamatwa na Polisi kwa kuchangia mada humu JF, walimjuaje na walimuhusisha vipi na hiyo comment ya JF?
 
MWENGE NI SEHEMU YA KUPUMBAZA WANA CCM
 
Mbona una kihoro vile
 
Na CCM ina wataka reform wengi watiifu
 
Mbona una kihoro vile
Sina kihoro wala kinyongo .. Mimi ni mwandishi naandika kila ninachoona kinafaa kuandikwa nami bila kuvunja sheria, taratibu na kanuni
 
kwani ukisema Mbowe anapenda madaraka utapungukiwa nini.
 
pesa imebadilisha wa watu mpaka wengine ccm wa jf wamekuwa mashoga
 
Ule mwenge ndiyo umewapumbaza Watanganyika,nashukuru Mungu sijawahi kuuona maisha yangu yote tangu nikiwa mdogo nilikuwa nakataa kabisa kwenda kwenye sherehe za Mwenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ