Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

Aliyefanya msigwa kuwa hivi alivyo ni Mbowe alimfanyia roho mbaya dhidi ya Sugu!.
 
One word ule moto wanaouzungusha kwa gharama kubwa nchi nzima
 
🤣🤣🤣 ndio unajua leo mkuu?
Wanawapata ila sio wote ,, wachache ndio unakuta ni watu haswa wa Mungu, wengine wameokoka, wengine Wana mizimu mikali inawalinda, wengine ndio watupu kabisa likipita pumbazo aka limbwata Kali tayariiii eeeh bana eeeh
 
limbwata lipo kwenye mwenge uoni tlaatlaah,lucas mwashambwa,chiembe ni misukule,lucas anatamani awe mke wa abdul
 
Mkuu Chama pekee kilicho kwenye mioyo ya watanzania ni CHADEMA Mtu Akiondoka CHADEMA anapoteza Kila kitu Hadi utukufu na nuru ya Mungu. CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…