Una uthibisho kwamba huyo John Urio ni ndugu wa shahidi Urio?

Uchaggani ni kawaida sana majina ya ukoo kufanana bila kufahamiana.
 
Maswali ya kitoto sana. Kila mlinzi anakuwa na specific kind of skills. After all ana haki ya kujilinda.
Akaajiri walinzi wenye specific military background kutokana na mambo yaliyokuwa yanaendelea.

Hakuna kosa kisheria maana hao unaodai makomando. Walishatolewa jeshini muda. Kwa hiyo ni raia wenye background ya jeshi
 
Luteni Urio amekosea kuwalengesha vijana wa watu wakaacha ajira zao na kuwatumbukiza ktk " mipango " ya Mbowe.

Mbowe alitakiwa achomekewe undercover police ambao wangeenda naye taratibu mpaka wamkamate kukiwa na ushahidi usio na mashaka.
Hawakuwepo jeshini. Walishatoka hata kabla ya mbowe kuwatafuta.
So sio kwamba waliacha jeshi, walikuwa walishakuwa raia maana walishatolewa mle siku nyingi
 
Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas...
Hivi unakijua vzr kikosi cha kuteka na kutesa na kuuwa kilichokuwa kinaratibiwa na Bashite? Uliona alama alizokuwa nazo Roma mgongoni? Uliona kidole chake kilivyovunjwa?

Hivi ni Nani alizuia walinzi wasiende lindo siku Lissu anashambuliwa ili kumuua mchana kweupe? Ulitaka tukio gan liwapate chadema na viongoz wake ndo wajiongeze kuwa na walinzi wabobevu tena kipindi cha kuelekea uchaguzi na mgombea wao mhanga wa uhalifu wa kidola.
 
Urio alikuwa shahidi mhimu. Ushahidi wake unaweza ku determine to some extent, fate ya kesi hii. Tuangalie strengths na weaknesses katika ushahidi wake.
1. Inconsistencies katika statements zake zilikuwa zinakwenda kwenye root of the case and not minor.
2. Demeanor yake ilionyesha wazi kuwa anasema uongo.
3. Contradictions going to the root of the case zilikuwa nyingi
4. Ongeza.............................................................
 
Unataka kujadili kesi iliyopo mahakamani. Learned brothers tusaidie tusijefungwa mikono
 
Sasa hao akina bwire wenyewe wanakamatwa kama kuku nao useme ni walinzi wa kuzuia kikosi kazi cha nchi?
 
Bado mashahidi zaidi ya 12 wanakuja,subiri kidogo.

Bado wahudumu wa mahoteli mipango ilipokuwa ikipangwa.

Hiyo ya urio ni Primarily evidence....

Bado exhibition.....
Kama Kingai na Urio wametoka kapa kiasi hicho,huko mbele ni aibu isiyopimika.Sijuwi mtaficha wapi nyuso zenu upande wa utetezi wakianza kutoa ushahidi wao.
 
Bado mashahidi zaidi ya 12 wanakuja,subiri kidogo.

Bado wahudumu wa mahoteli mipango ilipokuwa ikipangwa.

Hiyo ya urio ni Primarily evidence....

Bado exhibition.....
Hata kama kumbuka Urio kasema walikua wawili tu au waje kutengua ushahidi wake hadi sa ivi hamna kesi hapo
 
Sawa bint Ccm..
 
Hivi mnajua huyu jamaa yuko chini ya ulinzi mkali tena wenye silaha?hivi mnajua kila anakolala/kaa analindwa mwanzo mwisho?
Naomba niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupuuza sana nisamehe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hiyo,UKWELI ni huu,Mbowe na Urio walikuwa na urafiki wa karibu kwa muda mrefu sana,baada ya Ile Mbowe kushambuliwa Dodoma Urio aliumia Sana akamshauri amtafutie walinzi watakaomsaidia yeye na Chama kwa ujumla,Mbowe akaafiki USHAURI huo na kweli Urio akawatafuta hao akina Adamoo,by that time ilikuwa kwa Nia njema tu.Uimara wa ULINZI wa Mbowe uliwashtua sana akina sabaya ndipo wakaunda timu kuwateka hao walinzi,baada ya kutekwa na kuteswa sana ndipo kina Adamoo wakajisema wao ni akina nani na wamefikaje kwa Mbowe,Kusikia hivyo URIO akatafutwa faster na kupewa kipondo Cha haja na kulazimishwa aseme hayo anayoyasema.Ila angeonekana shujaaa Mahakamani kama angeamua kuwa mkweli,hata hao akina Adamoo wangekubali kusema kwamba Mbowe aliwashawishi wafanye UGAIDI Leo wangekuwa nje ila walibaki na msimamo wao na hapo ndipo unapoona wale ndio makomando wa kweli.ILA HAKI YA MUNGU HIYO TIMU INAENDA MOTONI.
 
Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Nani kakueleza Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi 100. hizi ni theory za vichochoro hazina uhalisia bro .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…