Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.Na mimi nina mashaka na wewe unaemshabikia mtu ambae watu wanatekwa na kuuliwa kinyama, anasema ni viji drama, kifo ni kifo, anaita wakosoaji mbwa wapumbavu! Jitathmini akili zako ndugu! Unaona kina Gwajima wamejificha mpaka leo na kanisa lake waumini wamezuiliwa haki ya kuabudu! Lissu anafungwa bila sababu za msingi na mahakama imegeuka ukumbi wa maigizo! Toeni hizi kelele zenu mnazopiga utadhani huyo mnampigania anafanya la maana, kama si kushibisha matumbo yenu!
Gwajima kwani ni nani??Na mimi nina mashaka na wewe unaemshabikia mtu ambae watu wanatekwa na kuuliwa kinyama, anasema ni viji drama, kifo ni kifo, anaita wakosoaji mbwa wapumbavu! Jitathmini akili zako ndugu! Unaona kina Gwajima wamejificha mpaka leo na kanisa lake waumini wamezuiliwa haki ya kuabudu! Lissu anafungwa bila sababu za msingi na mahakama imegeuka ukumbi wa maigizo! Toeni hizi kelele zenu mnazopiga utadhani huyo mnampigania anafanya la maana, kama si kushibisha matumbo yenu!
Kwahiyo tuendelee kufurahia utekaji eti kwasababu aliyeasisi ni Magufuli? rubish kabisa.Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
Pole pole anajikuta yeye ni mtu special huku akisahau wao ni katika uongozi wao ndiyo walikuwa sababu ya kuzaliwa kwa hili bunge la chama kimoja lililoisha...Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
Excuse me? Ni zao la utawala wa magufuli like seriously?Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
Kwa hiyo unamaanisha Samia anauendeleza huo ushenzi?Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
Utakua umezaliwa jana labda! Enzi za kikwete ndio ujinga wa kutekana na kuuana ulianza, sema kipindi hicho habari hizi hazikua zinasambaa kama sasa sababu ya mitandao ya kijamii ndio open encyclopedia. Halafu ni ujinga mtu kukomalia mambo yaliyopita wakati sasaivi kuna mambo ya msingi ya kufanya! Yaani ni hivi haijalishi huko nyuma nani alifanya nini, sasa tuko na samia na tunamwambia ukweli KAZI YA URAIS HAIWEZI, Apumzike fullstop.Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
Ukitulia kidogo utawaelewa, hawamshangilii yeye kama, mtu binafsi, Hana, usafi wowote, ila, hqkuna ubishi, huyu ni alikuwa, insider wa ccm, anatupa, madudu yote yanayofanyika ndani ya ccmKwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Kampeni ya Kataa wahuni imeanza.Pole pole anajikuta yeye ni mtu special huku akisahau wao ni katika uongozi wao ndiyo walikuwa sababu ya kuzaliwa kwa hili bunge la chama kimoja lililoisha...
Lisu alipigwa risasi yeye alishangilia na kusema ni kibaraka wa mabeberu,eti leo anajifanya kuhimiza atoke jela.
Kichaa tuh yule.
Wahuni ni wale ambao katika zama zao walimteka na kumuua azori gwanda,ben saa nane na kumpiga risasi tundu lisu,ikiwa na kuongoza kununua wabunge wa upinzani eti kuunga mkono juhudi...Kampeni ya Kataa wahuni imeanza.
No reforms, No elections.
Sawa. Shabikia wenye akili wenzako wanaoliibia Taifa. PUUMBAVUKwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Unakumbuka ULIMBOKA 2012 NA MWANGOSI 2013? Mauaji ya Arusha 2010Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
So waliomuua Ally kibao, Soka, Mdude sio hao wahuni? Lini Samia aliwahi kukemea utekaji kwenye nchi hii?Wahuni ni wale ambao katika zama zao walimteka na kumuua azori gwanda,ben saa nane na kumpiga risasi tundu lisu,ikiwa na kuongoza kununua wabunge wa upinzani eti kuunga mkono juhudi...
Leo anataka kujifanya hero kukosoa serikali kwa kuwa hayupo kwenye inner circle...na mafala wanamuunga mkono.
Hizi ngonjera zako kawaambie watoto wasiojua kitu! SAMIA NI KIONGOZI DHAIFU SAAAANA, wewe ambaye sio mwehu unataka tukushangilie unapo mtetea rais Muovu anaesema watu kupotea ni vijidrama? Huna akili kabisa ndugu yangu nchi inashikwashikwa bila staha na washenzi, mimi sitawita wahuni tena! Ni washenzi tu ndio mnaona nchi iko sawa hapa tulipo!Gwajima kwani ni nani??
Kanisa lake limefutwa kwa mujibu wa sheria ukitaka aachwe aendelee kuleta chuki na kuitukana serikali kwa kutumia podium ya kanisa ili iweje..??
Kanisa lake halijafutwa na samia,limefutwa na mamlaka yake ya usajili ambayo ni wizara ya mambo ya ndani na ana ruhusa ya kwenda kukata rufaa.
Ni mwehu pekeyake anaweza kukaa na kumshangilia fala kama pole pole.
kazi ya Urais haiwezi hiyo ni kwa mujibu wako wewe na sababu zako,hata jiwe wengine walikuwa wanamuita Dikteta uchwara na hawezi kuongoza nchi.Utakua umezaliwa jana labda! Enzi za kikwete ndio ujinga wa kutekana na kuuana ulianza, sema kipindi hicho habari hizi hazikua zinasambaa kama sasa sababu ya mitandao ya kijamii ndio open encyclopedia. Halafu ni ujinga mtu kukomalia mambo yaliyopita wakati sasaivi kuna mambo ya msingi ya kufanya! Yaani ni hivi haijalishi huko nyuma nani alifanya nini, sasa tuko na samia na tunamwambia ukweli KAZI YA URAIS HAIWEZI, Apumzike fullstop.