Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .

Bila shaka wewe utakuwa mhuni!
 
PolePole ni TakaTaka

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg

Na bado!
 
Mimi nina mashaka na akili ya Watanzania wanaofanya Vetting za teuzi mbali mbali mpaka hawa wakina Pole pole kupewa nafasi za ubalozi nina wasi wasi sana na uwezo wa hao watu sio wanaomshangilia pole pole maana tatizo limeanzia mbali sana..
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Mwanamke yoyote kuwa na akili ni ngumu .
 
Na wewe unasahau kua Samia alikua makamu wa Rais miaka mitano

What a shame!
 
Ukitulia kidogo utawaelewa, hawamshangilii yeye kama, mtu binafsi, Hana, usafi wowote, ila, hqkuna ubishi, huyu ni alikuwa, insider wa ccm, anatupa, madudu yote yanayofanyika ndani ya ccm
Kama ni hivyo sawa
 
Gwajima kwani ni nani??

Kanisa lake limefutwa kwa mujibu wa sheria ukitaka aachwe aendelee kuleta chuki na kuitukana serikali kwa kutumia podium ya kanisa ili iweje..??

Kanisa lake halijafutwa na samia,limefutwa na mamlaka yake ya usajili ambayo ni wizara ya mambo ya ndani na ana ruhusa ya kwenda kukata rufaa.

Ni mwehu pekeyake anaweza kukaa na kumshangilia fala kama pole pole.
Kuamini kuwa Bongo kuna mahakama inayotenda haki na kama kweli hauna ufahamu wa kujua kuwa kufungiwa kwa kanisa badala ya ku-deal na Gwajiboy peke yake si maelekezo kutoka kwa bi Urojo wewe si tu ni mwehu bali ni mpumbavu usiye na hata chembe ya akili.
Waumini wa Gwajiboy wana kosa gani mpaka wanyimwe haki yao ya kuabudu?
 
Back
Top Bottom